Baraza la Chuo Kikuu Huria Tanzania lamtaka Prof. Bisanda aombe radhi kuhusu waraka wa Corona alioutoa

Baraza la Chuo Kikuu Huria Tanzania lamtaka Prof. Bisanda aombe radhi kuhusu waraka wa Corona alioutoa

Hivi bado kuna mtu mwenye akili timamu anyeamini kuwa tz hakuna covid 19? Mbona tunajua kuwa baadhi ya viongozi wakuu wamepewa chanjo ya mchina kimyakimya
Plot twist:
"To contain the side effects of the anti-virus, they will have to take an antidote...and only China will have it, and provide it at a PRICE"

Ni kimuvimuvi tu..
 
Jiwe atamuondoa Tu tena kama amekasirika Sana basi uhai WA Bisanda uko mashakani.
Uko sahihi Mkuu. Yaani tumuombe sana. Ukweli atamtengua. Hivyo asisubiri kutenguliwa. Aondoke mwenyewe. Vyeo vinapita ila heshima na utu wa mtu vitadumu milele. Kwanza watanzania wanapaswa kufahamu bila kificho kuwa Korona ipo tena ya aina ambayo ni mbaya zaidi. Hivyo wachukue tahadhari zote na wavae barakoa n.k. Kwa nini tudanganye ni Pneumonia? Ndugu wanahudumia mgonjwa bila tahadhari kwa kuwa wanaambiwa ni Pneumonia. Utasikia "wanasema daktari amesema mgonjwa anaumwa Nimonia siyo Corona". Eehh Rabi
 
Baada ya kumshawidhi aukane waraka wake kushindikana sasa wameamua kumuamuru kuomba radhi.

Huyo hawezi kuomba radhi. Atakachofanya ni kuwabidhi resignation letter usiku huu. Barua hiyo wataikataa na badala yake kutangazwa kwamba ametenguliwa.
Bora aombe radhi, asijaribu kujiuzulu labda tu kama amejipanga kiuchumi. Akijiuzulu uVC ndo anakuwa amejiuzulu utumishi, na mafao hatayapata leo.
 
Nadhani kiuungwana kabisa,
Prof. Aachie ngazi
Alitoa ushauri wa kitaalamu kabisa, ila kuna watu hawajamwelewa
Kuomba radhi ni kuyakana matamshi na maandishi yake.
Ili asimamie msimamo wake sio kosa akiachana na uVC
Kabla hajaachia uVC amuulize Ndalichako yaliyomkuta alipojiuzulu ukatibu mtendaji wa NECTA
 
Akiomba radhi narudisha cheti chao naenda kuchukua research zangu kwenye maktaba yao nafungua na kesi ya madai nipatiwe ada yangu yote na retention fees
 
Kiukweli imefika wakati Naona aibu sana kuwa raia wa Tanzania.
Ndipo hali ilipofikia, huna uhuru wa kusema ambacho mamlaka hazitaki useme😁😁😁 la sivyo utavikwa taji la upotoshaji 😂 na kulazimishwa uombe radhi!

Mie binafsi navyojijua ningekuwa sipo kazini mda huu sababu kuomba msamaha kwa kitu ambacho logically haki make sense siwezagi! Ndio jambo pekee ambalo huwa siwezi katika hii dunia.
 
Hiki ndicho kinachowafanya hata maprofesa kuweka akili zao kabatini na kufuata midundo ya Mzee wa Chato.
Lazma ucheze mirindimo ya Chato Greatest Hits CD!

Ukijifanya nunda unakula mtama na kupewa misala!
 
Mnavyopiga kelele mtasema huwa hamuendi makazini shubamiti zenu! Huna ata uweze wakujilockdown lakini unashadadia kama hela yakuishi ata mwezi unayo..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ona vuvuzela la ccm hili,wapi Prof kasema lockdown yeye katoa tahadhari watu wachukue tahadhari sehemu za kazi,vyuoni no hio lockdown umeitoa wap
 
Kwan unadhan aliyewaita mataga alikosea???
Yeye daktari wa nini?
Acha kukurupuka mkuu, yaonekana hata hujui tunamzungumzia nani Ila kwasababu ni mataga umekurupuka tu na kuchangia[emoji38][emoji38]
Katika vitu Kama hivi ndio upeo wenu hupimwa, sasa jiclassify una upeo wa aina gani!
 
Wizara ya Afya itoe taarifa zaidi! Haitoshi tu kusema tuna dawa za kienyeji! Kuwe na sheria kali za afya kwenye shule, harusi, mazishi, kanisani,daladala nk!!! Uongozi uko too quiet!!
 
Back
Top Bottom