Baraza la Chuo Kikuu Huria Tanzania lamtaka Prof. Bisanda aombe radhi kuhusu waraka wa Corona alioutoa

Wangempa masaa 12 tu awe ashaomba radhi,akuna kucheka na vibaraka wa Covid.
 
Baada ya kumshawishi aukane waraka wake kushindikana sasa wameamua kumuamuru kuomba radhi.

Huyo hawezi kuomba radhi. Atakachofanya ni kuwakabidhi resignation letter usiku huu. Barua hiyo wataikataa na badala yake kutangazwa kwamba ametenguliwa.
 
Baada ya kumshawidhi aukane waraka wake kushindikana sasa wameamua kumuamuru kuomba radhi.
Huyo hawezi kuomba radhi. Atakachofanya ni kuwabidhi resignation letter usiku huu. Barua hiyo wataikataa na badala yake kutangazwa kwamba ametenguliwa.
Muda mwingine bora iwe hivyo tu kuliko kushiriki dhambi ya uongo, atakuwa amefanya jambo la busara sana kukaa pembeni hata hivyo alilenga kuwaandikia watu anaowasimamia kwenye taasisi yake.
 
Hao Baraza ni wachumia tumbo. Namshauri Prof Bisanda asithubutu kubadili kauli yake kwa kuwa amefanya kitu cha KIJASIRI ambacho wasomi wengine wanagwaya. Asigope KUFUKUZWA kazi kwa kuwa Mungu atamlipa kwa maisha ya WATANZANIA aliowaokoa.

Na jina lake litaandikwa maandishi ya dhahabu kwenye HISTORIA ya Tanzania.
 
Kazi nzuri. wizara ya afya ndio yenye jukumu la kutoa taharifa kwa wananchi
Pengine labda Prof. alidhani sera na maelekezo ya uatoaji wa taarifa ulihusu kile kirusi cha awali,hiki kipya ni jukumu la kila mtu/taasisi/jumuiya kwa nafasi yake/zao kuakikisha ana/zina/jilinda na kuwalinda wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…