Mbona wajifanya headless chicken? Wapi na nani kasema ishu ya kuji lockdown? So wew ukiambiwa uchukue tahadhali unawaza kujilockdown? Watu wengine sijui huwa mnafikiri kwa kutumia kiungo gani...Mnavyopiga kelele mtasema huwa hamuendi makazini shubamiti zenu! Huna ata uweze wakujilockdown lakini unashadadia kama hela yakuishi ata mwezi unayo..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba usiku na mchana hii kitu ikapige pale kwa huyo mtu nadhani akili ndipo zitaturudia.Baada ya kumshawidhi aukane waraka wake kushindikana sasa wameamua kumuamuru kuomba radhi.
Huyo hawezi kuomba radhi. Atakachofanya ni kuwabidhi resignation letter usiku huu. Barua hiyo wataikataa na badala yake kutangazwa kwamba ametenguliwa.
Hata kama ukarundikiwa vyeo 100, kama umekufa vitakufaa kitu?Muda si muda mtu anapoteza kibarua
Asante. Nimekupata!Huenda ni kwa sababu unapenda kusoma na kuandika mambo ya namna fulani, hivyo unadhahi wote tuko hivyo. Uliisoma thread hii niliyoanzisha mwezi uliopita, na watu wa aina yako wakanishambulia tena?
Adui wa legacy ya Rais Magufuli: Kuminya Demokrasi au kushindwa kudhibiti maambukizi ya Corona?
Watu wengi kwenye kambi ya upinzani wamekuwa wanadai kuwa Magufuli kabinya demokrasi ilihali huwa wanashiriki uchaguzi na ama wanashinda au wanashindwa kama ilivyo ada ya demokrasia. demokrasia haiana maana kuwa upinzani ndio ushinde tu. Viongozi huwa hawapimwi kwa mambo ya kawaida bali yale...www.jamiiforums.com
Au ulisoma post yangu hii? Tunanadika mambo objective huwa hatuangalii yanamhusu nani; Magufuli akifanya vizuri tutamsifia, na akifanya vibaya tutamkosoa pia. Sio kama wewe unaoyeonekana kupenda kukososa tu hata pale pasipohusika.
Watahoji uraia wake kwa sababu wanajua kuwa hakuna msomi mtanzania mwenye ujasiri wa kufanya hivyo?Prof Hataomba radhi.
Watatengua uteuzi wake na baadae watahoji uraia wake
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Ndiyo alirudi chuo, swali ni chuo gani? UD au Kairuki?Si alirudi chuoni kufundisha na akawa promoted from Senior Lecturer to Associate Professor
1. Natamani kufahamu kama Prof alishaomba radhi.Baraza la Chuo Kikuu Huria, limekaa kikao cha dharura na kuagiza Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda aombe radhi kwa Wizara ya Elimu, Chuo Kikuu Huria na Umma kwa waraka wa tahadhari ya #CORONAVIRUS alioutoa Februari 8, 2021.
Prof. Bisanda alitoa waraka kuwatahadharisha wafanyakazi na wanafunzi wa chuo hicho kuhusu ugonjwa wa Corona. Baraza limebaini kuwa yalikuwa maoni binafsi na alikosea kutumia nembo za Serikali.
Aidha imedaiwa taarifa ya Prof. Bisanda imeonekana kukinzana na Sera ya Serikali juu ya tahadhari dhidi ya #COVID19 pia haikuwa na takwimu za kuthibitisha uhalali wa baadhi ya taarifa hizo.
Baraza limeagiza wanafunzi na wafanyakazi wa chuo waendelee na kazi na masomo kama kawaida. Pia limeomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
Pia soma
- Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(OUT) Chatahadharisha wanafunzi na wafanyakazi wake dhidi ya COVID19 NA COVID21
- Corona: Wizara ya Elimu yaukana waraka wa Prof. Elifas Tozo Bisanda Makamu wa Chuo Kikuu Huria (OUT)
Nahisi na wewe ni msomi kama siyo PhD basi professor maana ndo mnaoongoza kuongea utumbo!!...Na ATUMBULIWE KABSA yeye nan wa kutoa waraka mzto kama ule wakat hana mamlaka ya kufanya ivo