Baraza la Famasi imesema limekuwa likifuatilia mwenendo wa utoaji wa dawa za macho kwenye baadhi ya maduka ya dawa Nchini ambapo limebaini utoaji holela wa dawa za matone za macho zenye viambata vya antibiotic na steroid kwa Wagonjwa wa Red Eyes wanaofika kupatiwa huduma kwenye baadhi ya maduka hayo.
Duh hii nchi ngumu habari km hii haitawafikia wengi so dawa zitaendelea kununuliwa sijui tutumiage mbinu gn kutoa maonyo me nadhani Rais ndo anapaswa aseme sauti yake hufika mbali
Baraza limetoa tu tamko ila usitegemee kote dawa itaacha kunuliwa vijijini huko watu smartphone hawana hawa juu Baraza ni kitu gani wakiumwa lazima waende