Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
HILI NDILO BARAZA LA MAWAZIRI LA KWANZA KABISA KWA SERIKALI YA TANGANYIKA BAADA YA KUPATA UHURU MWAKA 1961.
Baraza hilo lilikuwa na Waafrika 8, Wazungu 2 na Mhindi 1, Jumla Mawaziri walikuwa 11.
Siku hiyo ya uhuru ilipigwa picha ya Baraza hilo la Mawaziri. Katika picha hiyo, anakosekana Sir GEORGE KAHAMA aliyekuwa ametumwa kikazi "Zaire" na Mwalimu. Aliporejea nchini ikapigwa picha nyingine ya pili iliyomjumuisha lakini picha hii ya kwanza ndio iliyosambaa/ julikana zaidi.

Mwalimu J.K. Nyerere (Waziri Mkuu)
Rashid Mfaume Kawawa (Waziri asiye na wizara maalumu)
Oscar Kambona (Elimu)
Job Lusinde (Serikali za Mitaa)
Amir Jamal (Mawasiliano, Nguvu za Umeme, na Ujenzi)
Nsilo Swai (Biashara na Viwanda)
Tewa Said Tewa (Ardhi na Upimaji)
Chief Abdallah Said Fundikila (Sheria)
Derick Bryceson (Afya na Kazi)
Paul Bomani (Kilimo)
Sir Ernest Vassey (Fedha)