Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) litusaidie kwenye hoja hizi nne

Rubbish like other's!
 
Hivi wewe una akili kweli au ndio kuweka tu mabandiko yasiyo na hoja haiwezekani unauliza na kujijibu mwenyewe jinga kabisa
 
Magazeti ya siku hizi ya hard news karibia yote ni ya kufungia vitumbua.
 
Nilikuwa sijasoma hii mada, naapa hutojib8wa hapa bali utaishia kutukanwa tu na 'wasomi' wetu humu. Kiufupi kuna kitu nyuma ya pazia......huo ndo UKWELI!!!!!
 
Ngoja kunguni wao waje kukushambulia, ila nakuhakikishia Hakuna atakaejibu maswali yako kisomi.
Hakuna swali lolote la maama hapo. Kwanza kuna maswali mtoa mada ameyajenga kutokana na hoja za uwongo.

1) Ni uwongo kusema kwamba mahakama ilibariki mkataba ule wa kishenzi. Mahakama ilikubali kuwa IGA husainiwa kati ya nchi na nchi, na kwamba Dubai siyo nchi. Ilikubali pia wananchi hawakupewa muda wa kutosha kutoa maoni yao. LAKINI mwishoni mahakama ikasema haina mamlaka ya kubatilisha maamuzi ya Bunge.

2) Jambo la pili kuwa eti inawezekana vipi Bunge zima likose uzalendo, labda mtoa hoja tumwulize, tangu lini mwizi anakuwa mzalendo? Bunge zima limejaa watu ambao hawakuchaguliwa na wananchi. Ni majizi ya kura. Mengine hayakupata hata kura 1. Yalitangazwa tu kuwa ni wabunge. Na mahakama ikatoa hukumu kuwa majitu hayo siyo wabunge. Na humo yumo mpaka waziri mkuu. Jitu jizi tangu lini linaweza kuwa lipo kwaajili ya linayewibia?

3) Swali lake jingine linafanana tu na hilo la wevi waliopo bungeni. Eti inawezekana vipi Serikali nzima ikose uzalendo na utaalam. Hivi wakati wa wizi wa meremeta, Kagoda, Escrow, hakukuwa na wataalam serikalini? Au Serikali ilikosa watu? Wakati wa wizi wote wa pesa za umma unaooneshwa na CAG, Serikali huwa imewaondoa wataalam? Ukweli ni kwamba, hakuna watu wanaoongoza katika kuiba na kupora pesa za umma kama viongozi na watumishi wa umma kwa kushirikiana na wafanyabiashara wachache. Serikali haiaminiki, na hata viongozi wake wengi hawaaminiki. Mwizi haaminiki wakati wote.

4) Swala la kusema ufafanuzi kuhusiana na mkataba umetolewa na Serikali, ni hoja ya kipuuzi. Watu wanahoji vipengele vilivyo wazi kabisa vya hovyo kwenye mkataba huu wa kishenzi, wajinga wa Serikali wanakuja na majibu eti mkataba ni mzuri, DP ina uwezo mkubwa, DP wataongeza mapato ya Serikali. Sasa hayo ni majibu ya vipengeke vya hovyo kwenye mkataba? Ni majibu ysnayotolewa na wendawazimu waliopo Serikalini kuwapumbaza wananchi wakiacha kutoa majibu ya vipengete vinavyolalamikiwa ambavyo ni: IGA kukosa uhalali kwa sababu imesainiwa na jimbo badala ya nchi, mkataba kukosa ukomo, nchi kufanywa kikaragosi cha DP kwa kulazimishwa kuipa DP nafasi ya pekee kwenye uwekezaji, nchi kulazimika kutekeleza matakwa ya DP kwenye masuala ya ardhi, DP kupewa upendeleo kwenye ulipaji kodi, na DP kuwa na umiliki wa 100% kwenye uendeshaji.

Hongereni sana maaskofu kwa kusimama na wananchi dhidi ya majitu dhulumati yanayopora rasilimali za nchi na kuwakabidhi wageni kutokana na faida zao binafsi kwa kutumia nafasi zao Serikalini.

Wananchi Tuseme NO kwa Serikali na viongozi wote wanaotumia nafasi zao kupora rasilimali za Taifa na kuwauzia DP kupitia mkataba huu wa kishenzi.
 
Hata mauaji ya Kimbari Rwanda yalianzia kwa fitina za maaskofu.
Haya watu wasio na utimamu kama huyu, ndiyo wanaojibu hoja za vipengere vya hovto kwenye mkataba wa kishenzi wa DP, unatarajia nini?
 
Haya watu wasio na utimamu kama huyu, ndiyo wanaojibu hoja za vipengere vya hovto kwenye mkataba wa kishenzi wa DP, unatarajia nini?
Huwaa sikisii. Kumbuka hilo.

Unataka kuukataa ukweli, jisomee kilichoripotiwa na dunia:

Vatican yashutumiwa kuhusika mauaji ya kimbari Rwanda​

Elizabeth Shoo
04.02.20154 Februari 2015
Hakimu mmoja wa mahakama maalumu ya kusimamia kesi ya mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 ameulaumu uongozi wa kanisa katoliki kwa kuwalinda washukiwa waliohusika ambao ni viongozi wa dini.

Cnanzo: Vatican yashutumiwa kuhusika mauaji ya kimbari Rwanda – DW – 04.02.2015

Niongeze?
 
Huo upuuzi hata sijaona sababu ya kuhangaika nao.
 
Mnalilaumu Kanisa Katoliki kuwalinda watuhumiwa kumbe hilo kanisa lina nguvu sana, ndio maana hata nyie huku kila siku mnalia na mfumo Kristo, mtatawaliwa sana na Kanisa Katoliki.
 
Kwahiyo unacho taka kusema ni kwamba TEC wanalengo la kutuingiza kwwnye machafuko?!
HAPANA tusifike huko japo wazee wangu wa TEC najua wameteleza sana kwa kitendo cha kusoma waraka huo kanisani, haikuwa sawa kabisa, maana hawakutujali sisi waumini wao tunao Unga mkono jitihada za Serikali ktk uwekezaji.

Kwa kitendo cha TEC kutoa waraka kabisani kumetugawa sisi waumini tunao Unga juhudi za serikali na uwekezaji wa DP bandarini, hawakututendea haki kabisaa
 
Unaonesha umejuruhiwa.

Hivi mwambulukusi alishinda kesi Mbeya?

Huo mkataba wa IGA hatuna haja ya kuendelea kuwasomesha. Upo wazi kabisa, kila kitu swaaaafi, sasa ngojeni HGA na "concession agreements".

Naahamu hasira zinazowapata zinatokea wapi. Mnashindwa kasi ya RRRR ya mama Samia.

bandari sasa hivi inapitia Reforms kuelekea kwenye Rbuilding.

Ulitaka tuendelee kulea madudu haya:

 
Mnalilaumu Kanisa Katoliki kuwalinda watuhumiwa kumbe hilo kanisa lina nguvu sana, ndio maana hata nyie huku kila siku mnalia na mfumo Kristo, mtatawaliwa sana na Kanisa Katoliki.
Siyo tu kuwalinda watuhumiwa, ndiyo chanzo cha mauaji ya kimbari. Soma vizuri habari imeandikwa na nani, mimi mjumbe tu nimeifikisha. Au hujaona chanzo?

Mchezo huu hautaki hasira. Usitetee ujinga.

Zama za utumwa wa kanisa katoliki zilikwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…