PostGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) wametoa tamko yaliyotokea Oktoba 29, 2025

PostGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) wametoa tamko yaliyotokea Oktoba 29, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2009
Posts
2,990
Reaction score
3,551
Leo tarehe 15/11/2025, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), kupitia Rais wake Askofu Wolfgang Pisa, limetoa tamko zito kufuatia matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 29 na siku iliyofuata

TEC imekemea vikali utekaji na mauaji ya raia yaliyijitokeza wakati wa uchaguzi ikieleza Serikali na Vyombo vya Ulinzi vilitumia nguvu kupita kiasi katika kuwakabili waandamanaji ambao hawakuwa na silaha, hata hivyo tamko hilo limekweka wazi uhalali wa maandamano kikatiba, ikikosoa waandamanaji kuwekwa kwenye kundi la wahalifu na kupewa kesi ya uhaini yenye hukumu ya kifo na zaidi ikisikitishwa na kitendo cha Majeruhi katika maandamano ya Oktoba 29 kutopewa matibabu na ndugu kunyimwa maiti ya wapendwa wao ili kufanya shughuli za mazishi kama ilivyo taratibu na imani ya dini

Aidha Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) imetoa wito kwa Serikali kuanza mikakati ya Katiba mpya, uwajibshwaji wa wakuu wa vyombo vya usalama wote waliohusika na mauaji ya raia, Serikali kuweka kipaumbele kuwasikiliza wananchi, viongozi kufanya kazi kwa uwazi na uadilifu na ndugu kupewa maiti za wapendwa wao ili kukamilisha mazishi




Soma pia
1763201227465.png


1763201288014.png


1763201338722.png


1763201383151.png

1763201413895.png



1763201505063.png



1763201834238.png


1763201833869.png


1763204942235.png
 

Attachments

  • 1763201552688.png
    1763201552688.png
    415.7 KB · Views: 34
  • 1763204965944.png
    1763204965944.png
    233 KB · Views: 36
Back
Top Bottom