Tetesi: Baraza la Maaskofu (TEC)kukutana hivi karibuni

Kwani mkataba umesainiwa!?
 
Umeambiwa weka hapa huo mkataba wa Gas btn Wazungu & TZ ili tuone madhaifu yake.

Haya mengine ya kutukana, kukashifu na kulialia achana nayo, twende kwa FACTS.
Waambie TEC wakuoneshe,maana mkataba huo hawakuitana vikao Wala kung'aka,itakua mzuri wanaujua
 
Wabunge siyo wajinga na hawana allergy na mwarabu/muislam Kama pengo na TEC
 
Usilojua ni kwamba wapo waarabu wasio waislamu pia, sio kila mwarabu ni muislam
 
Kwani mkataba umesainiwa!?
Ni kweli haujasainiwa.
Lakini mtu anapokuletea mkataba huku akiwa hajaweka wazi baadhi ya mambo ya mkataba. Mfano: Time frame, fedha iliyowekezwa, serikali italipwa shilingi ngapi?, nk. Unamwona ana nia njema huyu?( Halafu, anakuambia wewe pitisha tu, usiwe na wasiwasi. Na wewe unakubali kupitisha)- Ukifanya hivyo tayari UMETAPELIWA. ( Kwanini?), Kwasababu ukishajifunga kwenye mkataba kinachofuata ni UTEKELEZAJI wa mkataba. ( Lakini, kwanini ukubaliane na masuala yenye sura ya uficho?).

Mkataba ukiwa wazi unakuwezesha wewe kupima FAIDA na HASARA na hivyo kufanya maamuzi yenye tija kwa nchi( siyo unabaki, kubuni faida usizoambiwa). Je, matarajio ya faida yakibuma?, Tunaambiwa hatutakiwi kufanya chochote dhidi ya DP WORLD ( milele). Huu ni mkataba mbaya kuliko wa Sultan Mangungo na Carl peters.
 
Ni uchaguzi ufanyike nchini, ztunaweza pata viongozi.
 
Wewe mpuuzi, mkataba haujaingiwa unasema mtu anakuletea mkataba,wakati mkataba ni majadiliano,hivi huwa mnafikiri!?..huo mkataba wameandaa wao wakaja tuambie tusaini!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…