A
Anonymous
Guest
Kwanza nitangulize shukrani zangu kwa JamiiForums kwa kuwa siku moja baada ya lile chapisho lililoletwa na member kuhusu Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) kuharakisha kutoa matokeo ya Mtihani wa Leseni (Post Internship Examination) ya Madaktari uliofanyika Desemba 17, 2025, tuliona jambo limeanza kufanyiwa kazi kwa matokeo kutoka.
Pamoja na hivyo kimbembe bado kinaendelea, kupata matokeo ni hatua nzuri ila ni ya awali sana, tunahitaji ku-apply na kupata full registration na baadaye valid license.
Jumamosi hiyohiyo tuli-apply for full registration, cha kushangaza hata kutumiwa control number tu imekuwa ni mtihani, ni siku ya tatu sasa control number hakuna inaandika "fetching".
Control Number ambayo ni automatic kwenye website nyingi ila huku MCT ni changamoto siku mbili sasa, nawaza hiyo leseni tunakuja kuipata lini.
Mbaya zaid hawajali wala kutoa taarifa kwa umma kuomba radhi, wanasingizia ni mfumo mpya ila ni aibu taasis kubwa kama ile kushindwa kuweka IT wa kueleweka kuweka mambo yawe sawa.
Kuna ajira ambazo mwisho ni tarehe 27 February tuna apply vipi bila leseni, imekuwa mtihani sana.