Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

Mambo yanabadilika ,zamani urologist ( watu wa njia ya mkono) ilikua lazima FANYA Emmed ya surgery KWa Sasa hakuna na wanafanya vizuri tu, swala hapa sio surgery (mmed) KWANZA bali exposure WENDA ikawa imechambua kutokua vizuri
 
Naona kama huu ni ugomvi binafsi ila umeamua kugeneralize hospital nzima,Thread nzima umetaja watu wawili hasa hasa nadhani ugomvi wako upo na bwana Magogo,mtakua mmezinguana mahali.

Hili ni swala binafsi sababu ulizotaja sioni kama zinaweza ibebesha sifa mbaya hospitali nzima,japo unaweza kuwa na point kadhaa ila si kwa ujumla kuwa Selian ni Hatari,Hapana.

Sema tu Magogo ndio hatari na wala sio seliani,habari nyingine nyingine wewe huzijui nadhani ungeacha tu hvyo hvyo mambo ya madeni mambo gani sijui hizo zote ni "hear say" nikikwambia u prove utaanza sema "mbona kama ni hivyo n hivi"

Acha hizo Mkuu,Seliani ni nzuri na kama n madhaifu kila hospitali ina madhaifu yake,Dar mwananyamala ishaitwa majina yote ile hospitali, BOCHI ndio usiseme ukipeleka mgonjwa pale haruki, Hiyo MUHIMBILI yenyewe na matawi yake kina mloganzila ndio nyoko bini fyedede,wagonjwa hawatoboi.

sasa kama kila sekta za afya mnazichafua hivi,kwahyo mnataka tutibiane majumbani ama? hebu mnapokua na maugomvi yenu malizaneni wenyewe sio mnarusha kombora kwa kampuni nzima.

Magogo kakukera sana inaonyesha, Part 2 ya huu mkasa utusimulie kwa kina MAGOGO kakufanyaje mkuu.
 
Gharama inakuwa kubwa kutokana na gharama za uendeshaji; mfano, chukulia labda dokta bingwa alipwe milioni 7, na chanzo cha mapato pekee ni gharama za matibabu; hapo si lazima gharama ziwe juu? Sijajua lakini, wanachanzo kingine cha mapato hapo hospitalini?
 
Sijawahi lazwa seliani lakini nimepeleka mwanangu seliani kapata matibabu seliani,kalazwa wiki mbili pale nikiwa nae wodini.

Hospitali ambayo chakula tulikua tunapewa ndani wodini,jioni unakuja unaulizwa uandaliwe nini unaenda andaliwa chakula utakachotaka wewe na mtoto.

Asubuhi mchana Jioni huduma za chakula ni ki VIP sana, Uangalizi wa wagonjwa uko vizuri,kuona wagonjwa sheria ni kali sana hii inasaidia hata kuepusha maadui kuingia wodini.

Hadi tunakuwa discharged mwanangu hakuelewa kama tupo hospital maana hakuna kitu cha nyumbani alikikosa wodini, kadhalika na wodi za watu wazima nilikua nikienda watembelea usiku wakati mwanangu kalala,Huduma ni nzuri na zinaridhisha.

Kasoro zipo kila mahali hakuna kitu kizuri kinachokosa kasoro,seliani nao wana kasoro zao ila zinavumilika, Kuhusu BEI seliani sio rafiki kwa watumia CASH tumia BIMA upate huduma stahiki,CASH ina cost sana.

Bili iliyokuja siku tunakua discharged (kwa wiki mbili) kuanzia matibabu mpka malazi ni 7.5M (nhif) ili cover kila kitu sikuwahi toa hata senti 5 yangu.

7.5m mtanzania wa kawaida anaitoa wapi? seliani si rafiki eneo hilo TU kwa upande wangu lakini.
 
Sjui ninyamaze kuna nyengine iko Dar hapo ile iko ukonga sjui ya Cardinal nani sjui ila daaah wale jamaa wako sharo [emoji3]
 
Tatizo la Seliani ni kuwaondoa wazungu waliokuwepo kwenye management.

Baada ya hao kuondoka imeshuka kidogo ila ni hospitali kongwe na bora kwa hapo Arusha.

Hospitali kongwe ya Seliani ni iliyoko maeneo ya ngaramtoni. Ile ya pale mjini sio kongwe. Haina huduma bora bali ina majengo ya kisasa. Huenda hilo la kuondoa wazungu likawa na ukweli, lakini as how it stand ni hospitali yenye huduma duni na gharama kubwa ya matibabu isiyostahili.
 
Inawezekana kaporwa nesi au mhudumu wa kike, wivu wa kimapenzi.
 

Gharama ziendane na ubora wa matibabu, na sio madai ya madaktari wao.
 
JF of GT's si jukwaa la majungu, hebu tueleze hoteli ya Corridor na kuchangishwa waumini kuna husiana nini na hiyo hosipitali, ni heri tuwe mataahira kuliko kutetea ugomvi binafsi wa kuporana wanawake.
 
Gharama ziendane na ubora wa matibabu, na sio madai ya madaktari wao.
Gharama zinaanzia kumuona dakitari inaweza kuwa shs 70,000/= tiba na malazi nazo zinatofautiana, baadhi malazi 30,000/= , hosipitali za serikali kumuona dakitari kama utafanikiwa ni bure.
 
Gharama zinaanzia kumuona dakitari inaweza kuwa shs 70,000/= tiba na malazi nazo zinatofautiana, baadhi malazi 30,000/= , hosipitali za serikali kumuona dakitari kama utafanikiwa ni bure.
Kumuona daktari hosp za serikali sio bure. Ni buku 2 au buku 4
 
NHIF wanalipia chakula?
 
Wazembe wapo; ila unapowasilisha mada/tuhuma unatakiwa usifungamane na upande wowote.
Sina ugomvi na mtu yeyote na siwezi kuajiriwa hapo mimi ni darasa la saba.Nisamehe kama nimeegemea ila nina uchungu na maisha kupotea kienyeji
 
Mimi sina ugomvi nimeleta uzi hapa kutoa tahadhari ili muokoe maisha yenu na wapendwa wenu,huyu CEO amemuajiri Specialist kama Super Super ambaye amegharimu maisha ya watu watatu! Dayosisi ianhusika maana wanapaswa kusimamia taasisi zilizo chini yake.Mimi sina mgogoro na yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…