Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

Kuna Dr mmoja hapo kwenu celian alikuwa. Anachepuka na mchumba wa rfk wangu bado yupo

Na kesi hyo naifahamu vzr mkicheza. Naweka picha hapan niwaoneshe walimwengu jins dkt anavyokula mademu zetu kimasiara siara [emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo lako choyo na kutokuelwa dunia inaenda wapi na ujinga wa kutaka kujifunza.. Neurosurgery unatolewa kama Master of Medicine(Mmed) karibu nchi karibia zote duniani bila ya kusoma General surgery.. Lakini tu huwa unafanya rotation kwenye general surgery kuanzia miezi 6 .. System ya Master of Science ni ya ki zamani na imeshapitwa na wakati.
Majungu kama haya yalikuwepo pale muhimbili miaka ya 2005 na kuendelea baada ya vyuo vya Tanzania kuanza kutoa Master ya Orthopedic, Opthalmology na ENT bila ya kusoma general surgery. Lakini mwisho wa siku walishindwa na hivi sasa wao wenyewe wanatowa kozi hizo.
Dogo pole sana. Kama mtu ameshakubaliwa mpaka na MCT .. Wewe kikaragosi naona unapotez muda, ratufa sehemu nyengine upambane. Hahahahaaa
 
Gharama zinaanzia kumuona dakitari inaweza kuwa shs 70,000/= tiba na malazi nazo zinatofautiana, baadhi malazi 30,000/= , hosipitali za serikali kumuona dakitari kama utafanikiwa ni bure.

70,000 kumuona daktari kwa huduma gani bora walizonazo?
 
Gharama zinaanzia kumuona dakitari inaweza kuwa shs 70,000/= tiba na malazi nazo zinatofautiana, baadhi malazi 30,000/= , hosipitali za serikali kumuona dakitari kama utafanikiwa ni bure.
una hakika na unachoandika mkuu?
 
Selian ni jengo tuu na mlo, ila kwa matibabu ni zero.
Wazungu waliondoka baada ya kugundua dawa zinazo letwa jwa msaada zilikuwa zina uzwa ghalu sana kwa wagonjwa badala ya msaada.
Dayosisi ya Kaskazini kati ni wabaguzi mno.. Wana taka kila kutu kifanywe na Waarusha na Wamassai. Wana shindwa kuelewa kwamba waumini wa KKKT kwenye dayosisi ni makabila zaudi ya hayo.
 
labda hyo namba 5 …

ila hizo sababu zingine zote ni fitna tu

japo hyo hsp ilishakuwa ya hovyo kitambo sana
 
Tulimpeleka ndugu yangu alikuwa na malaria kali, alilazwa kwa siku bili sio chini ya elfu 80 na alikaa wiki moja.

Na hawaruhusu upeleke chakula labda umpelekee maji tu, tena ya kilimanjaro[emoji16].

Mungu atusaidie tusiugue magonjwa makubwa.
 
Hivi Dr. Kisanga ameondolewa?
Huyu ni bingwa bora upasuaji duuh
 
Nadhani wewe ni Dkt utakuwa umeondolewa hapo ajira imekoma hivyo umeamua kuchafua hospitali pamoja na kanisa, kwa andiko lako hapo kuna ukabila gani? inamaana kusoma China ni dhambi? rubbish
Hospital jina kubwa, ila huduma ovyo kupindukia...hampajui aelian
 
Be blessed
 
Nadhani wewe ni Dkt utakuwa umeondolewa hapo ajira imekoma hivyo umeamua kuchafua hospitali pamoja na kanisa, kwa andiko lako hapo kuna ukabila gani? inamaana kusoma China ni dhambi? rubbish
Nakubaliana nawe hawa ndiyo wale wanaharibu taswira za taasisi Kwa sababu za ubinafsi, mtu unakuta mzembemzembe tu, hayuko competent anataka wengine wawe kama yeye!

Hii shida kubwa Kwa watanzania uvivu na majungu!
 
Kiongozi unaoomba wamchunguze daktari, nao wataka wachunguzwe na TAKUKURU 🤔
 
Hata mimi huwa nashangaa! Yaani hii nchi kuendelea ni ngumu sana.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Taahira ni wewe, kwani umeshindwa nini kupeleka malalamiko yako kwa channel zinazoweza kuwawajibisha ? Kama sio majungu tusemeje sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…