Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

wote wachunguzwe hao madaktari uchwara...daktari bongo??πŸ˜•....sio huyo omari au juma wote kamata weka ndani....
 
Taahira ni wewe, kwani umeshindwa nini kupeleka malalamiko yako kwa channel zinazoweza kuwawajibisha ? Kama sio majungu tusemeje sasa?
Jf ni ya baba yako wewe jinga..kila mmoja ana haki ya kuandika chochote humu ndani..vigezo na masharti kuzingatiwa
 
  • Kuna chuki ya madaraka hapa; muhimu tujifunze kujiajiri
  • Mada yako ilitakiwa ijikite; uchunguzi ufanyike, kubaini vyanzo vya vifo hivyo kama vilisababishwa na uzembe au kwa kutokujua kazi. Inawezekana wapo waliotibiwa wakapona pia.
Chuki ya madaraka na nani? mimi sifanyi na sijawahi kufanya kazi hapo wala sina hiyo taaluma hapa pana tatizo ni wajibu wa wadau husika wote kuchukua hatua na wewe usiende kutibiwa hapo hadi hatua za makusudi zichukuliwe.Hii ni sauti ya muhanga
 
Bora umeona mimi nimeleta hili jambo kuokoa maisha ya watu,wananiita mfitini.Hoja hapa kuna uzembe wa hali ya juu ambao maisha ya watu watatu yamepotea.Maisha haya mbadala yakipotea yamepotea.Tuendelee kupaza sauti zetu
 
Wewe ni kilaza wa mwaka mzima! soma elewa kama huelewi uliza au wewe ndio Dr Juma Magogo? unaona vifo vya watu watatu waliokufa kwa uzembe ni vichache? lazima utakuwa bonge la mwendawazimu na katili kama Hitler
 
Tahila nkalilwolwako
 
Usi
Usome Central South University uwe specialist? Hamuwajui wachina . Huyo alitakiwa akifika TZ afanyiwe mitihani vinginevyo huyu ni Dr bomu
 
Umejitahidi Sana kutuhumu kila kitu nikama unachuki kubwa Sana na selian Hospitali.
 
Wewe ni mtu wa tatu namsikia akiilalamikia hii hospitali ya Seliani. Uzembe unaosababisha kifo na kuendelea kumweka marehemu kwenye mashine ya kupumulia halafu bili inakuja juu.
 
Watanzania wengi sana Ni mabingwa wa USHABIKI.

Taking sides and SHOUTING UNNECESSARILY.
 
 
Hizi hospitali zetu za wagalatia siku hizi sijui zikoje? Angalau za ndugu zetu upande mwingine kama Aga Khan.

Mlolongo
 
Kuna mwingine anajiita dokita zainabu huyu nae achunguzwe wakuu kila anaemfanyia laparatomy lazima afe....πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…