Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hatukuelewi, mbona Kama una chuki na uongozi? Kichwa Cha Habari hakiendani na mada uliyoleta? Ukweli hospital ya ALMC imebadilika sana, na kutoa huduma Bora zaidi Toka uongozi Mpya ulivyo ingia. Nyie Ni wale waharibifu ambao hamkujua uongozi huu Mpya unaweza kufanikiwa. Ebu Tulia usitupigie makelele kwa mada za kujitungia na zilizo jaa chuki.Hospital ya Selian Arusha ALMC Pamoja na Dayosisi ya Arusha Mjini imeingia kwenye kashfa nzito.Kwa muda mrefu Dayosisi hii inayoongozwa na Baba Askofu Masangwa imeshindwa kusimamia miradi mbalimbali ya Dayosisi,miaka kadhaa nyuma ilishindwa kusimamia ikiwepo hotel ya kitalii ya corridor hali iliyopelekea waumini kuchangishwa ili kulipa deni walilokuwa wanadaiwa na CRDB
Kwa sasa matatizo ya Dayosisi hii yamegeuka maumivu na vilio kwa watu wa Arusha na Tanzania kwa ujumla.Lengo la andiko hili ni kutoa tahadhari kwa watu wote kuhusu Hospitali ya Selian(ALMC).Kutokana na maswala ya ukabila na kutojitambua hospital hii chini ya Mkurugenzi wake Bwana Elisha Twisa ambaye aliteuliwa baaada ya Dr Kisanga ambaye alikuwa ameandaliwa muda mrefu kufanyiwa fitina na kuondolewa kienyeji,Bwana Elisha Twisa ameajiri Dr wa operesheni wa mishipa(Neurosurgeon) ambae hana utalaam huo wa kufanya operesheni,tangu January mwaka 2022 wagonjwa watatu waliofikishwa hospitalini hapa wamefariki Dunia kutokana na uzembe wa Dr huyu anayeitwa Dr Juma Magogo
Dr Juma Magogo aliajiriwa kutoka hospital ya Taifa ya Muhimbili ambako hadi leo hajaacha kazi.Aliomba likizo ya miezi mitatu ambayo imeisha.Akiwa muhimbili hakuwahi kuruhusiwa kufanya operesheni kwa kuwa elimu yake aliyoipata huko China imetiliwa mashaka makubwa.Alienda China kusomea na katika mazingira ya ajabu akarudi na vyeti vya super specialist wakati hajafanya general surgery hii ilitia mashaka wataalamu wa Muhimbili,lakini katika hali ya kustaajabisha Bwana Elisha Twisa Mkurugenzi wa Selian akiwa amejulishwa na Muhimbili kuwa huyu Dr Juma Magogo hajakidhi vigezo bado aliamua kumuajiri bila hata kufuata taratibu za ajira.
Dr Juma Magogo alisoma chuo cha Xiangya China mwaka 2013 ambako alitunukiwa kuwa Super Specialist wakati hakuwahi kuwa general surgeon,andiko lake pekee 1. Surviving the largest atypical parasagittal meningioma in a two-year-old child: a case report and a brief review of the literature; DOI: Redirecting, 3. Surviving penetrating brainstem injury by bamboo sticks; Rare cas
Matokeo ya uamuzi wa ovyo wa CEO wa Selian ni kupoteza maisha ya watu watatu kwa uzembe! Itakumbukwa kuwa CEO aliyekuwepo Dr Kisanga aliondolewa kwa hila na sababu za Ukabila.Ni wazi kuwa ALMC ni hatari kwa maisha ya binadamu kutokana na uzembe wa CEO Mpya Bwana Elisha Twisa
Natoa wito
1.Serikali kuanza uchunguzi mara moja wa uendeshaji wa Selian (ALMC) ili iokoe maisha ya watu,Wizara ya afya chukueni hatua
2.Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Juma Magogo
3.Takukuru chunguzeni kuhusu namna MCT walivompa leseni Dr Juma Magogo ambaye hana vigezo
4.Takukuru ichunguze Dayosisi jinsi ilivomwajiri CEO ambaye amegharimu maisha ya watu
5.Huduma za afya ambazo Selian inazitoa zichunguzwe na Wizara kama zinakidhi vigezo
6.Serikali na vyombo husika vichunguze uhalali wa Likizo ambayo mtumishi tayari ameshaajiriwa Sekta binafsi lakini bado anaendelea kulipwa na Serikali
Tena anaonekana alikuwa Dr bomu kabisa, aliye jishungulisha na majungu zaidi kuliko taaluma yake.Nadhani wewe ni Dkt utakuwa umeondolewa hapo ajira imekoma hivyo umeamua kuchafua hospitali pamoja na kanisa, kwa andiko lako hapo kuna ukabila gani? inamaana kusoma China ni dhambi? rubbish
Duh.
Kwa jinsi ulivyoandika tu, inaonyesha wewe ni mfanyakazi wa hapo Serian Hospital, maana umeandika hadi details zake za utendji wake wa kazi huko alipotokea.
Vifo vya wagonjwa watatu ndio vimeibua haya!. Je waliopona chini yake ni wangapi?.
Hata huko Muhimbili mbona wapo wagonjwa wanaofariki chini ya usimamizi wa Daktari?, na huko nako ni kwa hatari kwa maisha ya Binada
Mkorofi na mvivu.Kwahiyo anataka tumsaidie arudishwe kazini! Anaonesha ni mkorofi.
Watu humu JF ni matahila Sana, yaani mtu akileta Jambo fulani ambalo kwa maslai ya Taifa, mnamuita mfitini,
Yaani mfano Mimi nna Jambo zito kwenye taasisi moja ya Nchi juu ya mtu fulani, lakini kamwe siwezi kulileta humu kwa matahila , yaani humu hata ukileta habari juu ya uzembe wa mtu fulani wa nafasi fulani, mizezeta itakuambia majungu tu hayo!
KKKT ni kanisa linalojiendesha kama taasisi ya mtu binafsi.Hospital ya Selian Arusha ALMC Pamoja na Dayosisi ya Arusha Mjini imeingia kwenye kashfa nzito.Kwa muda mrefu Dayosisi hii inayoongozwa na Baba Askofu Masangwa imeshindwa kusimamia miradi mbalimbali ya Dayosisi,miaka kadhaa nyuma ilishindwa kusimamia ikiwepo hotel ya kitalii ya corridor hali iliyopelekea waumini kuchangishwa ili kulipa deni walilokuwa wanadaiwa na CRDB
Kwa sasa matatizo ya Dayosisi hii yamegeuka maumivu na vilio kwa watu wa Arusha na Tanzania kwa ujumla.Lengo la andiko hili ni kutoa tahadhari kwa watu wote kuhusu Hospitali ya Selian(ALMC).Kutokana na maswala ya ukabila na kutojitambua hospital hii chini ya Mkurugenzi wake Bwana Elisha Twisa ambaye aliteuliwa baaada ya Dr Kisanga ambaye alikuwa ameandaliwa muda mrefu kufanyiwa fitina na kuondolewa kienyeji,Bwana Elisha Twisa ameajiri Dr wa operesheni wa mishipa(Neurosurgeon) ambae hana utalaam huo wa kufanya operesheni,tangu January mwaka 2022 wagonjwa watatu waliofikishwa hospitalini hapa wamefariki Dunia kutokana na uzembe wa Dr huyu anayeitwa Dr Juma Magogo
Dr Juma Magogo aliajiriwa kutoka hospital ya Taifa ya Muhimbili ambako hadi leo hajaacha kazi.Aliomba likizo ya miezi mitatu ambayo imeisha.Akiwa muhimbili hakuwahi kuruhusiwa kufanya operesheni kwa kuwa elimu yake aliyoipata huko China imetiliwa mashaka makubwa.Alienda China kusomea na katika mazingira ya ajabu akarudi na vyeti vya super specialist wakati hajafanya general surgery hii ilitia mashaka wataalamu wa Muhimbili,lakini katika hali ya kustaajabisha Bwana Elisha Twisa Mkurugenzi wa Selian akiwa amejulishwa na Muhimbili kuwa huyu Dr Juma Magogo hajakidhi vigezo bado aliamua kumuajiri bila hata kufuata taratibu za ajira.
Dr Juma Magogo alisoma chuo cha Xiangya China mwaka 2013 ambako alitunukiwa kuwa Super Specialist wakati hakuwahi kuwa general surgeon,andiko lake pekee 1. Surviving the largest atypical parasagittal meningioma in a two-year-old child: a case report and a brief review of the literature; DOI: Redirecting, 3. Surviving penetrating brainstem injury by bamboo sticks; Rare cas
Matokeo ya uamuzi wa ovyo wa CEO wa Selian ni kupoteza maisha ya watu watatu kwa uzembe! Itakumbukwa kuwa CEO aliyekuwepo Dr Kisanga aliondolewa kwa hila na sababu za Ukabila.Ni wazi kuwa ALMC ni hatari kwa maisha ya binadamu kutokana na uzembe wa CEO Mpya Bwana Elisha Twisa
Natoa wito
1.Serikali kuanza uchunguzi mara moja wa uendeshaji wa Selian (ALMC) ili iokoe maisha ya watu,Wizara ya afya chukueni hatua
2.Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Juma Magogo
3.Takukuru chunguzeni kuhusu namna MCT walivompa leseni Dr Juma Magogo ambaye hana vigezo
4.Takukuru ichunguze Dayosisi jinsi ilivomwajiri CEO ambaye amegharimu maisha ya watu
5.Huduma za afya ambazo Selian inazitoa zichunguzwe na Wizara kama zinakidhi vigezo
6.Serikali na vyombo husika vichunguze uhalali wa Likizo ambayo mtumishi tayari ameshaajiriwa Sekta binafsi lakini bado anaendelea kulipwa na Serikali
HaswaTena anaonekana alikuwa Dr bomu kabisa, aliye jishungulisha na majungu zaidi kuliko taaluma yake.
Kanisa limewachangisha waumini wake wewe unatuletea sisi malalamiko ili iweje!Mitanzania mingi mijinga mijinga mkuu.
Mtu akileta humu jambo la maslahi ya nchi utaskia fitna hizo mara majungu wakati humu ndio sehemu sahihi ili watu waone jambo lifanyiwe kazi
Umeongea point mkuu, mfano mdogo tuu kipindi sisi tunapata kipaimara ilikuwa mwanafunzi aliyefaulu mtihani wa biblia anapewa zawadi siku ya kipaimara.KKKT ni kanisa linalojiendesha kama taasisi ya mtu binafsi.
Kila Askofu ni mmiliki wa Makanisa kwenye Dayasisi yake kama alivyo mwingira.
Askofu mkuu wa KKKT Hana nguvu yoyote mana kila Dayosisi Ina Katiba yake.
Ni kanisa lililogawanyika kuanzia kwenye mitaa chini mpaka juu.
Wajirekebishe wawe na kanisa Moja Tanzania nzima lenye katiba Moja na mfumo mmoja wa kujiendesha na ajira.
Ndio maana wanaingiliwa sana na wanasiasa kulingana na maeneo badala ya mwongozo. Maaskofu Wanachaguliwa lakini hawana muda Maalumu wa ukomo matokeo yake ni urasimu na kugeuka kuwa wamiliki wa Dayosisi na uadilifu kushuka kwenye miradi ya kanisa.
KKKT haiandai watumishi wake kuanzia Nursary school . Watu wanaibukia TU vyuoni na sekondari wakati wa kutafuta ajira.
Usishangae kuona daktari asiye mwadilifu au asiye na sifa. Nilishangaa kuona kule Konde viongozi wanapinga maamuzi ya Askofu mkuu hadharani kwenye vyombo vya habari . Siasa za kipuuzi kabisa kwenye kanisa na mambo ya kiroho. Walipaswa kumwandikia Askofu mkuu barua na kutoa malalamiko yao. Yote ni Kwa sababu wanajua hakuna la kuwafanya mana Dayosisi ni Mali yao na Askofu wao . Ndio maana hata ajira zao ni za kupeana bila sifa wakati mwingine.
Nafikiri ungejikita kutueleza ukabila umeingiaje hapo kwanza na kwa nini unafikiri ni huyo Dr. Kisanga tu ndie mwenye hati miliki ya kuwa CEO na siyo vinginevyo! Usije ukawa ww ndio upo ki ukabila zaidi ndg! Pia kunywa maji kwanza uvute hewa safi nje ndani x 100, calm down ndio uanze kutililika kwa mpangilio, siyo hivi ulivyokuja maana hasira zako zimesambaa kila kona na hivyo kupoteza mantiki ya unachotuhumu...kinachoonekana hapa ni 'personal verndetta'! Hivi aliyekukaririsha kuwa ni lazima ufanye general surgery kwanza kabla ya kuwa specialist au superspecialist ni nani vile? Au aliyekuambia anayeamua 'standards' za udaktari ni muhi2 ni nani vile!?😳Hospital ya Selian Arusha ALMC Pamoja na Dayosisi ya Arusha Mjini imeingia kwenye kashfa nzito.Kwa muda mrefu Dayosisi hii inayoongozwa na Baba Askofu Masangwa imeshindwa kusimamia miradi mbalimbali ya Dayosisi,miaka kadhaa nyuma ilishindwa kusimamia ikiwepo hotel ya kitalii ya corridor hali iliyopelekea waumini kuchangishwa ili kulipa deni walilokuwa wanadaiwa na CRDB
Kwa sasa matatizo ya Dayosisi hii yamegeuka maumivu na vilio kwa watu wa Arusha na Tanzania kwa ujumla.Lengo la andiko hili ni kutoa tahadhari kwa watu wote kuhusu Hospitali ya Selian(ALMC).Kutokana na maswala ya ukabila na kutojitambua hospital hii chini ya Mkurugenzi wake Bwana Elisha Twisa ambaye aliteuliwa baaada ya Dr Kisanga ambaye alikuwa ameandaliwa muda mrefu kufanyiwa fitina na kuondolewa kienyeji,Bwana Elisha Twisa ameajiri Dr wa operesheni wa mishipa(Neurosurgeon) ambae hana utalaam huo wa kufanya operesheni,tangu January mwaka 2022 wagonjwa watatu waliofikishwa hospitalini hapa wamefariki Dunia kutokana na uzembe wa Dr huyu anayeitwa Dr Juma Magogo
Dr Juma Magogo aliajiriwa kutoka hospital ya Taifa ya Muhimbili ambako hadi leo hajaacha kazi.Aliomba likizo ya miezi mitatu ambayo imeisha.Akiwa muhimbili hakuwahi kuruhusiwa kufanya operesheni kwa kuwa elimu yake aliyoipata huko China imetiliwa mashaka makubwa.Alienda China kusomea na katika mazingira ya ajabu akarudi na vyeti vya super specialist wakati hajafanya general surgery hii ilitia mashaka wataalamu wa Muhimbili,lakini katika hali ya kustaajabisha Bwana Elisha Twisa Mkurugenzi wa Selian akiwa amejulishwa na Muhimbili kuwa huyu Dr Juma Magogo hajakidhi vigezo bado aliamua kumuajiri bila hata kufuata taratibu za ajira.
Dr Juma Magogo alisoma chuo cha Xiangya China mwaka 2013 ambako alitunukiwa kuwa Super Specialist wakati hakuwahi kuwa general surgeon,andiko lake pekee 1. Surviving the largest atypical parasagittal meningioma in a two-year-old child: a case report and a brief review of the literature; DOI: Redirecting, 3. Surviving penetrating brainstem injury by bamboo sticks; Rare cas
Matokeo ya uamuzi wa ovyo wa CEO wa Selian ni kupoteza maisha ya watu watatu kwa uzembe! Itakumbukwa kuwa CEO aliyekuwepo Dr Kisanga aliondolewa kwa hila na sababu za Ukabila.Ni wazi kuwa ALMC ni hatari kwa maisha ya binadamu kutokana na uzembe wa CEO Mpya Bwana Elisha Twisa
Natoa wito
1.Serikali kuanza uchunguzi mara moja wa uendeshaji wa Selian (ALMC) ili iokoe maisha ya watu,Wizara ya afya chukueni hatua
2.Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Juma Magogo
3.Takukuru chunguzeni kuhusu namna MCT walivompa leseni Dr Juma Magogo ambaye hana vigezo
4.Takukuru ichunguze Dayosisi jinsi ilivomwajiri CEO ambaye amegharimu maisha ya watu
5.Huduma za afya ambazo Selian inazitoa zichunguzwe na Wizara kama zinakidhi vigezo
6.Serikali na vyombo husika vichunguze uhalali wa Likizo ambayo mtumishi tayari ameshaajiriwa Sekta binafsi lakini bado anaendelea kulipwa na Serikali
Selian hosp ndio hosp ya hovyo pamoja na gharama kubwa vifo vya kizembe ni vingi sana,wanalazmisha kukaa na mgonjwa ili kupata pesa wakti hawana uwezo wa kumtibuHospital ya Selian Arusha ALMC Pamoja na Dayosisi ya Arusha Mjini imeingia kwenye kashfa nzito.Kwa muda mrefu Dayosisi hii inayoongozwa na Baba Askofu Masangwa imeshindwa kusimamia miradi mbalimbali ya Dayosisi,miaka kadhaa nyuma ilishindwa kusimamia ikiwepo hotel ya kitalii ya corridor hali iliyopelekea waumini kuchangishwa ili kulipa deni walilokuwa wanadaiwa na CRDB
Kwa sasa matatizo ya Dayosisi hii yamegeuka maumivu na vilio kwa watu wa Arusha na Tanzania kwa ujumla.Lengo la andiko hili ni kutoa tahadhari kwa watu wote kuhusu Hospitali ya Selian(ALMC).Kutokana na maswala ya ukabila na kutojitambua hospital hii chini ya Mkurugenzi wake Bwana Elisha Twisa ambaye aliteuliwa baaada ya Dr Kisanga ambaye alikuwa ameandaliwa muda mrefu kufanyiwa fitina na kuondolewa kienyeji,Bwana Elisha Twisa ameajiri Dr wa operesheni wa mishipa(Neurosurgeon) ambae hana utalaam huo wa kufanya operesheni,tangu January mwaka 2022 wagonjwa watatu waliofikishwa hospitalini hapa wamefariki Dunia kutokana na uzembe wa Dr huyu anayeitwa Dr Juma Magogo
Dr Juma Magogo aliajiriwa kutoka hospital ya Taifa ya Muhimbili ambako hadi leo hajaacha kazi.Aliomba likizo ya miezi mitatu ambayo imeisha.Akiwa muhimbili hakuwahi kuruhusiwa kufanya operesheni kwa kuwa elimu yake aliyoipata huko China imetiliwa mashaka makubwa.Alienda China kusomea na katika mazingira ya ajabu akarudi na vyeti vya super specialist wakati hajafanya general surgery hii ilitia mashaka wataalamu wa Muhimbili,lakini katika hali ya kustaajabisha Bwana Elisha Twisa Mkurugenzi wa Selian akiwa amejulishwa na Muhimbili kuwa huyu Dr Juma Magogo hajakidhi vigezo bado aliamua kumuajiri bila hata kufuata taratibu za ajira.
Dr Juma Magogo alisoma chuo cha Xiangya China mwaka 2013 ambako alitunukiwa kuwa Super Specialist wakati hakuwahi kuwa general surgeon,andiko lake pekee 1. Surviving the largest atypical parasagittal meningioma in a two-year-old child: a case report and a brief review of the literature; DOI: Redirecting, 3. Surviving penetrating brainstem injury by bamboo sticks; Rare cas
Matokeo ya uamuzi wa ovyo wa CEO wa Selian ni kupoteza maisha ya watu watatu kwa uzembe! Itakumbukwa kuwa CEO aliyekuwepo Dr Kisanga aliondolewa kwa hila na sababu za Ukabila.Ni wazi kuwa ALMC ni hatari kwa maisha ya binadamu kutokana na uzembe wa CEO Mpya Bwana Elisha Twisa
Natoa wito
1.Serikali kuanza uchunguzi mara moja wa uendeshaji wa Selian (ALMC) ili iokoe maisha ya watu,Wizara ya afya chukueni hatua
2.Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Juma Magogo
3.Takukuru chunguzeni kuhusu namna MCT walivompa leseni Dr Juma Magogo ambaye hana vigezo
4.Takukuru ichunguze Dayosisi jinsi ilivomwajiri CEO ambaye amegharimu maisha ya watu
5.Huduma za afya ambazo Selian inazitoa zichunguzwe na Wizara kama zinakidhi vigezo
6.Serikali na vyombo husika vichunguze uhalali wa Likizo ambayo mtumishi tayari ameshaajiriwa Sekta binafsi lakini bado anaendelea kulipwa na Serikali
Mkuu umemaliza atakae bisha akapimwe akiliSelian ni jengo tuu na mlo, ila kwa matibabu ni zero.
Wazungu waliondoka baada ya kugundua dawa zinazo letwa jwa msaada zilikuwa zina uzwa ghalu sana kwa wagonjwa badala ya msaada.
Dayosisi ya Kaskazini kati ni wabaguzi mno.. Wana taka kila kutu kifanywe na Waarusha na Wamassai. Wana shindwa kuelewa kwamba waumini wa KKKT kwenye dayosisi ni makabila zaudi ya hayo.
Hosp gani yukoKuna mwingine anajiita dokita zainabu huyu nae achunguzwe wakuu kila anaemfanyia laparatomy lazima afe....[emoji848][emoji848]
Mkuu hutakiwi kulaumu kwenye hili, Hili linasababishwa na Mitazamo tofauti ya watu hakuna Jambo Dunia binadamu wote watakuwa upande mmoja? Dini, Siasa, Makabila, Utafutaji wa pesa na mambo mengi huwa ina pande mbili, hata Mahakamani sometimes mtu amefanya kabisa kosa ila kwa taratibu za kimahakama anaonekana hajatenda kosa.Watu humu JF ni matahila Sana, yaani mtu akileta Jambo fulani ambalo kwa maslai ya Taifa, mnamuita mfitini,
Nagikiri mleta uzi na hoja.Selian haifai?? Wakati ndio kimbilio la wengi kwa Arusha au unataka watu waende wakafe pale Mount Meru hospital kwa huduma mbovu?
Wanakosea sana.Umeongea point mkuu, mfano mdogo tuu kipindi sisi tunapata kipaimara ilikuwa mwanafunzi aliyefaulu mtihani wa biblia anapewa zawadi siku ya kipaimara.
Lakini tukashangaa wamebadili gia wakaanza kutoa zawadi kwa atayetoa sadaka nyingi.