Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wamekataa kuligawa Jimbo la Arusha mjini mara mbili wakidai ukubwa uliopo hivi sasa unakidhi mahitaji ya Wananchi huku wakikubaliana kugawanywa kwa kata nane za Jiji.
Madiwani wamekataa kwa pamoja madai ya kuligawa Jimbo la Arusha kwa madai kuwa halina ukubwa wa kuligawa katika kuwahudumia Wananchi.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumzia suala hilo Meya wa Jiji la Arusha, Maxmillian Iranghe tarehe Machi 25 ,2025 mara baada ya kumalizika kwa baraza maalum la Madiwani ambapo amesema kuwa walichokubaliana katika kikao hicho ni kugawanywa kwa kata nane tu ambazo zimeonekana kuna changamoto katika kuwafikia Wananchi na kushindwa kutatua kero kwa wakati kutokana na ukubwa wa eneo.