Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
🔥Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wamekataa kuligawa Jimbo la Arusha mjini mara mbili wakidai ukubwa uliopo hivi sasa unakidhi mahitaji ya Wananchi huku wakikubaliana kugawanywa kwa kata nane za Jiji.
Madiwani wamekataa kwa pamoja madai ya kuligawa Jimbo la Arusha kwa madai kuwa halina ukubwa wa kuligawa katika kuwahudumia Wananchi.
Akizungumzia suala hilo Meya wa Jiji la Arusha, Maxmillian Iranghe tarehe Machi 25 ,2025 mara baada ya kumalizika kwa baraza maalum la Madiwani ambapo amesema kuwa walichokubaliana katika kikao hicho ni kugawanywa kwa kata nane tu ambazo zimeonekana kuna changamoto katika kuwafikia Wananchi na kushindwa kutatua kero kwa wakati kutokana na ukubwa wa eneo.
Na Dar meya WA Halmashauri ya Kinondoni, na yeye ana sema kuongeza Halmashauri ndio kutasogeza na kuharakisha huduma Kwa wananchi na sio majimbo (kuongeza wabunge) mfano Halmashauri ya MabwepandeMadiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wamekataa kuligawa Jimbo la Arusha mjini mara mbili wakidai ukubwa uliopo hivi sasa unakidhi mahitaji ya Wananchi huku wakikubaliana kugawanywa kwa kata nane za Jiji.
Madiwani wamekataa kwa pamoja madai ya kuligawa Jimbo la Arusha kwa madai kuwa halina ukubwa wa kuligawa katika kuwahudumia Wananchi.
Akizungumzia suala hilo Meya wa Jiji la Arusha, Maxmillian Iranghe tarehe Machi 25 ,2025 mara baada ya kumalizika kwa baraza maalum la Madiwani ambapo amesema kuwa walichokubaliana katika kikao hicho ni kugawanywa kwa kata nane tu ambazo zimeonekana kuna changamoto katika kuwafikia Wananchi na kushindwa kutatua kero kwa wakati kutokana na ukubwa wa eneo.
Zingekuwa zinajiendesha bila influence ya halmashauri, Jiji au Dodoma ingekuwa afadhali sana!Kimsingi jimbo halina faida Kwa wananchi. Kata ndio ina faida Kwa wananchi kwa sababu ukiunda kata, kata nayo huunda idara za kuwahudumia wananchi kama vile idara ya Elimu, maendeleo ya jamii, mifugo, kilimo na Ward Development Committee yenyewe.
Mnachopata kwa jimbo ni mbunge peke yake. Mnaendelea kuwa chini ya halmashauri husika katika shughuli za kila siku za maendeleo.
Nimejifunza kitu hapa, ahsante MkuuKimsingi jimbo halina faida Kwa wananchi. Kata ndio ina faida Kwa wananchi kwa sababu ukiunda kata, kata nayo huunda idara za kuwahudumia wananchi kama vile idara ya Elimu, maendeleo ya jamii, mifugo, kilimo na Ward Development Committee yenyewe.
Mnachopata kwa jimbo ni mbunge peke yake. Mnaendelea kuwa chini ya halmashauri husika katika shughuli za kila siku za maendeleo.
Kuna mdau aliziweka humu nikiziona nitakutagKweni vigezo vya kuongeza Majimbo mapya ni vipi?!
Hayo mambo hayakupaswa kuwa ni mambo ya kuamuliwa na madiwani Bali sheria ingewekwa na vigezo mahususiMadiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wamekataa kuligawa Jimbo la Arusha mjini mara mbili wakidai ukubwa uliopo hivi sasa unakidhi mahitaji ya Wananchi huku wakikubaliana kugawanywa kwa kata nane za Jiji.
Madiwani wamekataa kwa pamoja madai ya kuligawa Jimbo la Arusha kwa madai kuwa halina ukubwa wa kuligawa katika kuwahudumia Wananchi.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumzia suala hilo Meya wa Jiji la Arusha, Maxmillian Iranghe tarehe Machi 25 ,2025 mara baada ya kumalizika kwa baraza maalum la Madiwani ambapo amesema kuwa walichokubaliana katika kikao hicho ni kugawanywa kwa kata nane tu ambazo zimeonekana kuna changamoto katika kuwafikia Wananchi na kushindwa kutatua kero kwa wakati kutokana na ukubwa wa eneo.
Arusha inavigezo vyote vya kugawanywa ila madiwani ndio wametia ngumu moja ya kigezo uwe na watu zaidi ya laki 5 ambapo Arusha inazaidi ya watu laki 6 na kata 33 ni nyingi sanaKuna mdau aliziweka humu nikiziona nitakutag
Kwa nini watu wa Arusha wana Akili sana?Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wamekataa kuligawa Jimbo la Arusha mjini mara mbili wakidai ukubwa uliopo hivi sasa unakidhi mahitaji ya Wananchi huku wakikubaliana kugawanywa kwa kata nane za Jiji.