GE2025 Baraza la Maskofu Tanzania (TEC) lakanusha waraka uliosamba kwenye mitandao ya kijamii

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
608
Akizungumza na waandishi wa Leo Oktoba 13,2025 katibu wa baraza la maskofu Tanzania Padri Charles kitima amesema waraka huo si wa baraza hilo huku akisisiza kuwa wanaofanya hivyo wakome mara moja. Waraka huo ambao uliwataka wauumini wa kanisa katoliki nchini kushiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 umekanushwa vikali na baraza hilo.

Soma Pia: Baraza la Maaskofu limetoa wito wa amani kuelekea uchaguzi mkuu

Je, upi msimamo wa kanisa katoliki kuelekea uchaguzi mkuu?
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Ok.
Kwahiyo tusishiriki sio;?
 
Wahuni wanachotaka hizi kanusha za kanisa wajinga wengi waone kama kanisa linaunga mkono uchaguzi.

Binafsi, TEC wakae watulie, vinginevyo kwenye ulimwengu wa sasa wanaweza kuwa kila siku wanakanusha tu.

kama vyombo vya dola haviwezi kushughulikia uhuni huo, TEC kukanusha kanusha hain a maana yeyote ile.
Safi,wahuni wanaumbuka
 
Aliyetuma huo qaraka alikuwa Na lengonlake na ameshafanikiwa na si called TEC wameingia Kwenye mtego kilaini kabisa. Walikuwa wakiruka ruka lakini Kwa statement hiyo wameahajiweka bayana kabisa .TEC either you with us or against US. Ukimaliza uchagizi tunaelewana. Kitu cha Kwanza linaanzishwaasi PR campaign against MOU na taasis za kikristo. Na titaeleza uozo wa hizo taasis na jiinsingani Imecheresha huduma za Afya kufika maeneo mengi Sana. Stay tuned
 
Umeshauri lijinga..je haujui kua Uongo ukiuacha ukasambaa utakua mkubwa na watu huuamini??
 
Aliyetuma huo qaraka alikuwa Na lengonlake na ameshafanikiwa na si called TEC wameingia Kwenye mtego kilaini kabisa. Walikuwa wakiruka ruka lakini Kwa statement hiyo wameahajiweka bayana kabisa .TEC either you with us or against US. Ukimaliza uchagizi tunaelewana. Kitu cha Kwanza linaanzishwaasi PR campaign against MOU na taasis za kikristo. Na titaeleza uozo wa hizo taasis na jiinsingani Imecheresha huduma za Afya kufika maeneo mengi Sana. Stay tuned
Na TEC Majasusi bobevu wamewajibu kua WANANCHI MSISHIRIKI UCHAGUZI MKUU, HAWAJATAKA KUZUNGUKA !!.

SASA TUSUBIRINI SIKU CHACHE ZIJAZO !!.

Maandamano si ni ya CHADEMA eehh!!!.
 
Aliyetuma huo qaraka alikuwa Na lengonlake na ameshafanikiwa na si called TEC wameingia Kwenye mtego kilaini kabisa. Walikuwa wakiruka ruka lakini Kwa statement hiyo wameahajiweka bayana kabisa .TEC either you with us or against US. Ukimaliza uchagizi tunaelewana. Kitu cha Kwanza linaanzishwaasi PR campaign against MOU na taasis za kikristo. Na titaeleza uozo wa hizo taasis na jiinsingani Imecheresha huduma za Afya kufika maeneo mengi Sana. Stay tuned
Ukitaka kujuwa wahusika wa upuuzi kama hao wanaotunga hizo nyaraka; anzia kwa watu vilaza kama huyu hapa; na nimeona na mwingine huko juu (Twin Tower).

Haitashangaza kama upuuzi huu hauanzii kwenye makundi ya dini; wenye mlengo kama wa huyu.,

Hawa wapo vitani na dini nyingine siku nyingi sana. Sasa wanapambana kufa na kupona ili Samia na Genge lake waendeleze upuuzi wanaoutaka wao.
 
Ccm ni kama wanatapatapa vile! Wanatamani TEC nao wawe CHAWA wao kama ilivyo kwa tawi lao la Bakwata. Bahati mbaya haiwezekani. Hao Maaskofu wa Katoliki reasoning yao iko juu sana. Hivyo huwezi kuwaburuza kirahisi tu.
"BAKWATA siyo tawi la CCM" tena; ndiyo inayoendesha hiyo inayoitwa CCM kwa jina.
 
Wahuni wanachotaka hizi kanusha za kanisa wajinga wengi waone kama kanisa linaunga mkono uchaguzi.

Binafsi, TEC wakae watulie, vinginevyo kwenye ulimwengu wa sasa wanaweza kuwa kila siku wanakanusha tu.

kama vyombo vya dola haviwezi kushughulikia uhuni huo, TEC kukanusha kanusha hain a maana yeyote ile.
Kwa hiyo wakae kimya hata kama wanalishwa maneno ya upotoshaji na uchochezi?
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
Mkuu unakabia juu😀😀😀, kila uzi…
 
Kipindi flani, mwezi wa 5, kama sikosei, ulitoka waraka wa kuwataka waumini wote wa kikatoliki kutoshiriki kwa namna yeyote ile uchaguzi huu mkuu. Sikuona TEC wakikanusha kwa nguvu hivi. Hata hivyo, Sasa hivi ni kawaida tu mitandaoni kuzusha hili na lile hivyo TEC Wala hawana haja ya kukomaa saaaaana kuonyesha upande waliopo kwani inajulikana muda tu kuwa hawamtaki Samia kwakuwa hatokani na wao. Na ukimsikiliza sana humu mitandaoni, utakuwa unajibu Kila siku maana inaonekana Kuna watu kapo kazi yao ni hiyo tu, kuzusha hili na lile.
Tanzania sio TEC peke yake, hao ni sehemu tu ya watanzania na hawawezi kuharibu chochote. Tuliobaki tutashiriki uchaguzi na mambo yataenda........wao waendelee kuratibu hayo maandamano yao kwa kushirikiana na chadema yao.
 
Mbna unateseka mkuu…tukikumata na kidole chenye wino hiyo Oct 29, tunakupeleka kwa kapteni Tesha..
 
Back
Top Bottom