Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Hii mijamaa Ina chuki sana sana, nilikuwa sijaijua vizuri ila safari hii ndo nimeijua aisee.
Unaongea na mtoa mada au?Mbna unateseka mkuu…tukikumata na kidole chenye wino hiyo Oct 29, tunakupeleka kwa kapteni Tesha..
Mkuu, unawaonea Bure! Wao ni nani wakataze waumini wao kushiriki au kutoshiriki uchaguzi. Vitabu vyao vinaakisi, ya kaizari (serikali) yaachie kaisari na ya Mungu (kanisa) mwachie Mungu.Hii mijamaa Ina chuki sana sana, nilikuwa sijaijua vizuri ila safari hii ndo nimeijua aisee.
Mwana Chadema yupo kazini nyuma ya pazia ya udini. Nadhani sasa ni wazi udini hata kama hatuwapendi CCM lakini waislamu tutapiga kura tu na mambo yataenda.Akizungumza na waandishi wa Leo Oktoba 13,2025 katibu wa baraza la maskofu Tanzania Padri Charles kitima amesema waraka huo si wa baraza hilo huku akisisiza kuwa wanaofanya hivyo wakome mara moja. Waraka huo ambao uliwataka wauumini wa kanisa katoliki nchini kushiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 umekanushwa vikali na baraza hilo.
Soma Pia: Baraza la Maaskofu limetoa wito wa amani kuelekea uchaguzi mkuu
Je, upi msimamo wa kanisa katoliki kuelekea uchaguzi mkuu?
Hii hoja yako haina logic. Kanusho ni la muhimu. Tena kwa wakati bila kupoteza muda.Wahuni wanachotaka hizi kanusha za kanisa wajinga wengi waone kama kanisa linaunga mkono uchaguzi.
Binafsi, TEC wakae watulie, vinginevyo kwenye ulimwengu wa sasa wanaweza kuwa kila siku wanakanusha tu.
kama vyombo vya dola haviwezi kushughulikia uhuni huo, TEC kukanusha kanusha hain a maana yeyote ile.
Taifa linakombolewa na watu seriousMkuu unakabia juu😀😀😀, kila uzi…
Mh, sawa mkuu lakini mioyo yetu (ukiwemo na wako) inajua ukweli kuhusu hili. Hizi harakati zao zinajulikana zinaelekea na kuegemea wapiMkuu, unawaonea Bure! Wao ni nani wakataze waumini wao kushiriki au kutoshiriki uchaguzi. Vitabu vyao vinaakisi, ya kaizari (serikali) yaachie kaisari na ya Mungu (kanisa) mwachie Mungu.
Msimamo wao walitoa kipalapala walipokataza watawa na si waumini wao kushiriki siasa ili wawe neutral maana wafuasi wao wana utashi wao. Kama ambavyo serikali inakataza kundi Fulani la waajiriwa wake kushiriki siasa ili wawe neutral mfano askari etc.
Wakatoliki walitoa rai kwa waumini wao kabla ya kuamua kupiga kura au kutopiga kura kujitafakari na kumuomba mungu amuongoze katika maamuzi. Akiamua kwenda kupiga kura napo ajitafakari nani wa kumpigia kura.
Kosa la kanisa lipo wapi? Naamini huu ndiyo msimamo maridhawa badala ya kanisa kuchagulia waumini wake. Hii ndiyo neutrality inayotakiwa kwa taasisi ambazo si za kisiasa.
Pale inapobidi. Sio muda wote na jambo lolote mnapaswa kuwa mnatoa makanusho.Hii hoja yako haina logic. Kanusho ni la muhimu. Tena kwa wakati bila kupoteza muda.
Duniani Hakuna taasisi imara itaacha taswira yake igalagazwe mavumbini kwa habari zisizo za kweli na ikaacha kujibu. Labda wewe unipe mfano wa taasisi ipi ililishwa maneno ya uongo na ikakaa kimya tuwe na case studyPale inapobidi. Sio muda wote na jambo lolote mnapaswa kuwa mnatoa makanusho.
Kukanusha ni kuunga mkono jambo. Wahuni wanawabagaza, muamue kukanusha kitu kinachowapa wao uhalali wa ajenda yao.
Kuna muda mnaacha tu hasa mkijua ni wahuni wanafanya hizo mambo. Serikali inamkono mrefu kwa nini inashindwa kuwakamata hao wahuni wanaoibagaza na kutaka kugombanisha taasisi na waamini wake dhidi ya serikali.
CCM, serikali, polisi.. tume huru ya uchaguzi. Msajilinwa vyama vya siasa. Mahakama.Duniani Hakuna taasisi imara itaacha taswira yake igalagazwe mavumbini kwa habari zisizo za kweli na ikaacha kujibu. Labda wewe unipe mfano wa taasisi ipi ililishwa maneno ya uongo na ikakaa kimya tuwe na case study
Una masikhara wewe, kwaheriCCM, serikali, polisi.. tume huru ya uchaguzi. Msajilinwa vyama vya siasa. Mahakama.