Safi,wahuni wanaumbuka
NdioOk.
Kwahiyo tusishiriki sio;?
Umeshauri lijinga..je haujui kua Uongo ukiuacha ukasambaa utakua mkubwa na watu huuamini??Wahuni wanachotaka hizi kanusha za kanisa wajinga wengi waone kama kanisa linaunga mkono uchaguzi.
Binafsi, TEC wakae watulie, vinginevyo kwenye ulimwengu wa sasa wanaweza kuwa kila siku wanakanusha tu.
kama vyombo vya dola haviwezi kushughulikia uhuni huo, TEC kukanusha kanusha hain a maana yeyote ile.
Na TEC Majasusi bobevu wamewajibu kua WANANCHI MSISHIRIKI UCHAGUZI MKUU, HAWAJATAKA KUZUNGUKA !!.Aliyetuma huo qaraka alikuwa Na lengonlake na ameshafanikiwa na si called TEC wameingia Kwenye mtego kilaini kabisa. Walikuwa wakiruka ruka lakini Kwa statement hiyo wameahajiweka bayana kabisa .TEC either you with us or against US. Ukimaliza uchagizi tunaelewana. Kitu cha Kwanza linaanzishwaasi PR campaign against MOU na taasis za kikristo. Na titaeleza uozo wa hizo taasis na jiinsingani Imecheresha huduma za Afya kufika maeneo mengi Sana. Stay tuned
Ukitaka kujuwa wahusika wa upuuzi kama hao wanaotunga hizo nyaraka; anzia kwa watu vilaza kama huyu hapa; na nimeona na mwingine huko juu (Twin Tower).Aliyetuma huo qaraka alikuwa Na lengonlake na ameshafanikiwa na si called TEC wameingia Kwenye mtego kilaini kabisa. Walikuwa wakiruka ruka lakini Kwa statement hiyo wameahajiweka bayana kabisa .TEC either you with us or against US. Ukimaliza uchagizi tunaelewana. Kitu cha Kwanza linaanzishwaasi PR campaign against MOU na taasis za kikristo. Na titaeleza uozo wa hizo taasis na jiinsingani Imecheresha huduma za Afya kufika maeneo mengi Sana. Stay tuned
"BAKWATA siyo tawi la CCM" tena; ndiyo inayoendesha hiyo inayoitwa CCM kwa jina.Ccm ni kama wanatapatapa vile! Wanatamani TEC nao wawe CHAWA wao kama ilivyo kwa tawi lao la Bakwata. Bahati mbaya haiwezekani. Hao Maaskofu wa Katoliki reasoning yao iko juu sana. Hivyo huwezi kuwaburuza kirahisi tu.
Kwa hiyo wakae kimya hata kama wanalishwa maneno ya upotoshaji na uchochezi?Wahuni wanachotaka hizi kanusha za kanisa wajinga wengi waone kama kanisa linaunga mkono uchaguzi.
Binafsi, TEC wakae watulie, vinginevyo kwenye ulimwengu wa sasa wanaweza kuwa kila siku wanakanusha tu.
kama vyombo vya dola haviwezi kushughulikia uhuni huo, TEC kukanusha kanusha hain a maana yeyote ile.
Mkuu unakabia juu😀😀😀, kila uzi…Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.
Siku hiyo kazi ni rahisi sana
Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.
Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu
VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu
Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu
Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.
Share na mwenzako