Baraza la maulid Kitaifa limekaa kama mkutano mkuu wa NEC

Baraza la maulid Kitaifa limekaa kama mkutano mkuu wa NEC

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Kutoka Geita.

Mgeni rasmi aliķuwa Kassim Majaliwa.

Kila Sheikh, Maalimu, Mufti nk aliyepata nafasi ya kushika kipaza sauti amelaani maandamano ya Chadema huku wakitoa salamu za pongezi kwa CCM katika kudumisha amani, kuleta maaendeleo na kuzuia mauaji.

Ilikuwa vigumu kutofautisha baraza la maulid na mkutano wa CCM.

Hongereni sana CCM.
 
Hizi dini zote kuu za hapa Tanzania isalam na ukristo zinachangamoto zake.
Waumini wa Uisilam na masheikh wao wanaunakfi na fitina vibaya sana toka enzi za mtume wanakusifia usoni kisogoni wanakung'ong'o.

ukristo una usaliti balaa ndio maana hawakawii kuanzisha makanisa mapya ya kila aina kila sikum
 
Kutoka Geita.

Mgeni rasmi aliķuwa Kassim Majaliwa.

Kila Sheikh, Maalimu, Mufti nk aliyepata nafasi ya kushika kipaza sauti amelaani maandamano ya Chadema huku wakitoa salamu za pongezi kwa CCM katika kudumisha amani, kuleta maaendeleo na kuzuia mauaji.

Ilikuwa vigumu kutofautisha baraza la maulid na mkutano wa CCM.

Hongereni sana CCM.
Hilo ndiyo tatizo la jamii yetu, wengine wanalia na kusaga meno wengine wanafurahia, mimi nakumbuka majira ambayo nilikuwa nashangaa kwanini mtu anakosa hata elfu kumi kumbe kila jambo na majira yake nami majira ya kukosa hiyo elfu kumi yalinifika, haya majira tofauti yakiwafikia na wao watalia na kusaga meno, hapa naukumbuka usemi wa kutesa kwa zamu

Mungu ametupa akili na utashi wengine Mungu katupa ufunuo wa kutambua kwamba kumbe binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri pia binadamu huyo huyo anaweza aka ahirisha kufikiri kizalendo anapo pewa dhamana yaani anakuwa na tabia ya unyumbu, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanao pewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao bila utii
 
sure,
kwenye ukweli siweezi kukosekana hata kidogo, nipo ndrani ndrani ndrani kabisa ya ukweli,

ama kuna makosa kuambiwa ukweli au mtu kusema ukweli ndrugu zango? 🐒

Bila shaka kumwakilisha mama na mwenzako mkibubujikwa machozi
 
Kutoka Geita.

Mgeni rasmi aliķuwa Kassim Majaliwa.

Kila Sheikh, Maalimu, Mufti nk aliyepata nafasi ya kushika kipaza sauti amelaani maandamano ya Chadema huku wakitoa salamu za pongezi kwa CCM katika kudumisha amani, kuleta maaendeleo na kuzuia mauaji.

Ilikuwa vigumu kutofautisha baraza la maulid na mkutano wa CCM.

Hongereni sana CCM.
actually,
nafatilia kwa karibu kujidhirisha na jambo hilo ili niwe na haki na uhuru wa kuchangia vizuri,

hata hivyo,
nawapenda sana, na nina wapongeza mno viongozi wa dini wanao hubiri amani na utulivu kwa waTanzania, na wanao sema ukweli hadharini na huku wakiungana na serikali kuliunganisha Taifa na kuwaleta wananchi pamoja ...

na kwakweli vitu haramu, tunapaswa kuvipinga kwa pamoja kama Taifa 🐒
 
Yule Sheikh wa mwisho kuzungumza anaitwa Jongo kanikera sana Sheikh mkuu amuonye asilete uchawa wake kwenye hafla za kidini akitaka kuleta siasa atafute majukwaa ya kisiasa.
 
Kutoka Geita.

Mgeni rasmi aliķuwa Kassim Majaliwa.

Kila Sheikh, Maalimu, Mufti nk aliyepata nafasi ya kushika kipaza sauti amelaani maandamano ya Chadema huku wakitoa salamu za pongezi kwa CCM katika kudumisha amani, kuleta maaendeleo na kuzuia mauaji.

Ilikuwa vigumu kutofautisha baraza la maulid na mkutano wa CCM.

Hongereni sana CCM.
Nimeidharau sana Bakwata, Ally Kibao kauliwa wameufyata.
 
Kutoka Geita.

Mgeni rasmi aliķuwa Kassim Majaliwa.

Kila Sheikh, Maalimu, Mufti nk aliyepata nafasi ya kushika kipaza sauti amelaani maandamano ya Chadema huku wakitoa salamu za pongezi kwa CCM katika kudumisha amani, kuleta maaendeleo na kuzuia mauaji.

Ilikuwa vigumu kutofautisha baraza la maulid na mkutano wa CCM.

Hongereni sana CCM.

BAKWATA ilianzishwa na Serikali. Ni taasisi ya Serikali ya kuwaswaga waislam..Ndiyo maana viongozi wa dini ya Kiislam wasiotaka kupokea maagizo toka CCM, walijitenga na BAKWATA, na CCM ikawafanya kuwa maadui zake. Recall, mateso aliyopitia shekhe Ponda.

Ukiishasikia BAKWATA ipo kwenye mkutano, tegemea huo mkutano hautakuwa tofauti na mkutano wa UVCCM au UWT.
 
Back
Top Bottom