CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Bakwata ni jumuia ndani ya CCM yenye jukumu la kuwaghilbu Waislamu waiunge mkono CCM nyakati za uchaguziKutoka Geita.
Mgeni rasmi aliķuwa Kassim Majaliwa.
Kila Sheikh, Maalimu, Mufti nk aliyepata nafasi ya kushika kipaza sauti amelaani maandamano ya Chadema huku wakitoa salamu za pongezi kwa CCM katika kudumisha amani, kuleta maaendeleo na kuzuia mauaji.
Ilikuwa vigumu kutofautisha baraza la maulid na mkutano wa CCM.
Hongereni sana CCM.