Hiyo ndiyo CCM ya sasa.Kutoka Geita.
Mgeni rasmi aliķuwa Kassim Majaliwa.
Kila Sheikh, Maalimu, Mufti nk aliyepata nafasi ya kushika kipaza sauti amelaani maandamano ya Chadema huku wakitoa salamu za pongezi kwa CCM katika kudumisha amani, kuleta maaendeleo na kuzuia mauaji.
Ilikuwa vigumu kutofautisha baraza la maulid na mkutano wa CCM.
Hongereni sana CCM.