MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Hizi dini zote kuu za hapa Tanzania isalam na ukristo zinachangamoto zake.Kutoka Geita.
Mgeni rasmi aliķuwa Kassim Majaliwa.
Kila Sheikh, Maalimu, Mufti nk aliyepata nafasi ya kushika kipaza sauti amelaani maandamano ya Chadema huku wakitoa salamu za pongezi kwa CCM katika kudumisha amani, kuleta maaendeleo na kuzuia mauaji.
Ilikuwa vigumu kutofautisha baraza la maulid na mkutano wa CCM.
Hongereni sana CCM.
sure,
Mkuu, ni hivyo tena? Basi ni dalili mbaya sana tuendako.Afu hawa ndo wanakomaa kuishabikia HOUTH na HAMAS eti wataleta mageuzi ya MIDDLE EAST huku hapa tz wakipewa sahani ya birian wanakenua hiiiiiiiii
Hilo ndiyo tatizo la jamii yetu, wengine wanalia na kusaga meno wengine wanafurahia, mimi nakumbuka majira ambayo nilikuwa nashangaa kwanini mtu anakosa hata elfu kumi kumbe kila jambo na majira yake nami majira ya kukosa hiyo elfu kumi yalinifika, haya majira tofauti yakiwafikia na wao watalia na kusaga meno, hapa naukumbuka usemi wa kutesa kwa zamuKutoka Geita.
Mgeni rasmi aliķuwa Kassim Majaliwa.
Kila Sheikh, Maalimu, Mufti nk aliyepata nafasi ya kushika kipaza sauti amelaani maandamano ya Chadema huku wakitoa salamu za pongezi kwa CCM katika kudumisha amani, kuleta maaendeleo na kuzuia mauaji.
Ilikuwa vigumu kutofautisha baraza la maulid na mkutano wa CCM.
Hongereni sana CCM.
sure,
kwenye ukweli siweezi kukosekana hata kidogo, nipo ndrani ndrani ndrani kabisa ya ukweli,
ama kuna makosa kuambiwa ukweli au mtu kusema ukweli ndrugu zango? 🐒
actually,Kutoka Geita.
Mgeni rasmi aliķuwa Kassim Majaliwa.
Kila Sheikh, Maalimu, Mufti nk aliyepata nafasi ya kushika kipaza sauti amelaani maandamano ya Chadema huku wakitoa salamu za pongezi kwa CCM katika kudumisha amani, kuleta maaendeleo na kuzuia mauaji.
Ilikuwa vigumu kutofautisha baraza la maulid na mkutano wa CCM.
Hongereni sana CCM.
Nimeidharau sana Bakwata, Ally Kibao kauliwa wameufyata.Kutoka Geita.
Mgeni rasmi aliķuwa Kassim Majaliwa.
Kila Sheikh, Maalimu, Mufti nk aliyepata nafasi ya kushika kipaza sauti amelaani maandamano ya Chadema huku wakitoa salamu za pongezi kwa CCM katika kudumisha amani, kuleta maaendeleo na kuzuia mauaji.
Ilikuwa vigumu kutofautisha baraza la maulid na mkutano wa CCM.
Hongereni sana CCM.
Kutoka Geita.