Baraza la maulid Kitaifa limekaa kama mkutano mkuu wa NEC

Hiyo ndiyo CCM ya sasa.
 
Yule Sheikh wa mwisho kuzungumza anaitwa Jongo kanikera sana Sheikh mkuu amuonye asilete uchawa wake kwenye hafla za kidini akitaka kuleta siasa atafute majukwaa ya kisiasa.
Nimemuona mkuu, amekaa kama katibu mwenezi wa chama
 
Nimeidharau sana Bakwata, Ally Kibao kauliwa wameufyata.
Kwani si marehemu Ally Kibao alikuwa CHADEMA, hili kweli huwezi pia kulikumbuka?

Jambo pekee sasa hivi linalo watambulisha waTanzania, kwanza kabisa ni kama wewe ni CCM, au siyo CCM; siyo u-Tanzania wao tena.
 
Ungemalizia tu kwamba ni ya wakristo..!! maana kila kibaya kilichopo kwa waislamu, ni wakristo wamekianzisha. Hii ndo imani yao
Hili linahitaji maelezo ya kina kueleweka kwa wengi mkuu 'Ngalikihinja'. Sijui kama utaeleweka kirahisi na wengi hapa.
 
Duh ngoja waje wale jamaa wa I proud to be Muslim
Unawachokoza!! Utaiweza muziki wao? Ngoja kuna wawili nawaona hapa wanakung'uta wamevua makobazi, wameyakung'uta na kuyaweka ndani ya mifuko ya kanzu ili waingie humu, bora ukimbie au ujifiche.
 
Ilianzishwa kama chombo cha CCM na ilianzishwa na Mwl Nyerere akishirikiana na Paulo Bomani
 
Mkuu huko Lumumba kwa sasa hakuna hakuna watu wenye akili ni matope tu
 
Dini Zote Takataka tuu
 
Hili linahitaji maelezo ya kina kueleweka kwa wengi mkuu 'Ngalikihinja'. Sijui kama utaeleweka kirahisi na wengi hapa.
Nakuelewa sana. Hawa watu, hata lile eneo lao la pale karibu na Kibasila Sec, Dar, waliloliuza, wanatamani waseme wakristo ndo tumeuza..!! Na hivi lipo karibu na Parokia ya Chang'ombe, ndo kabisaaa...!!!
 
Tatizo ni hamna shule... Shule zao zinaburuzaga mkia 🤣🤣
Ni wakuhurumiwa kwakweli...
 
Duh.
 
Kwani si marehemu Ally Kibao alikuwa CHADEMA, hili kweli huwezi pia kulikumbuka?

Jambo pekee sasa hivi linalo watambulisha waTanzania, kwanza kabisa ni kama wewe ni CCM, au siyo CCM; siyo u-Tanzania wao tena.

..inasemekana familia ya Mzee Ally Kibao wana undugu na marehemu Sheikh Hemed Bin Juma Bin Hemed, aliyepata kuwa Mufti wa Bakwata.

..Na Mufti Sheikh Zubery Bin Ally alikuwa mwanafunzi na msaidizi wa Mufti Hemed Bin Juma Bin Hemed.

..Sasa huu msimamo kwa Mufti Zubeiry kuhusu kuuwawa kwa Mzee Ally Kibao ni jambo ambalo linashangaza, na kusikitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…