Baraza la maulid Kitaifa limekaa kama mkutano mkuu wa NEC

Bakwata ni jumuia ndani ya CCM yenye jukumu la kuwaghilbu Waislamu waiunge mkono CCM nyakati za uchaguzi
 
Maelekezo kutoka ju
 
Ulitakaje
 
Kitu pekee wanachoweza ni kula na kuvimbiwa ndio maana kila ukaapo nao karibu ni harufu za ushuzi tuuu unazisikia... hopeless!!
 
Tupieni na picha basi, sisi wengine hatuna tmagetoni.
 
Bakwata ni tawi la ccm kama UWT. Tu masheikh ubwabwa wamejaa mule.
Ponda issa ponda ameongea vema swala la usalama wa raia
 
BaKwaTa ilianzishwa na Mgalatia Nyerere. Kwa hiyo usishangae kusimamia upande wa serikali ya ccm.
 
Kila Sheikh, Maalimu, Mufti nk aliyepata nafasi ya kushika kipaza sauti amelaani maandamano ya Chadema huku wakitoa salamu za pongezi kwa CCM katika kudumisha amani, kuleta maaendeleo na kuzuia mauaji.

Ilikuwa vigumu kutofautisha baraza la maulid na mkutano wa CCM.
 
Unafiki mwingi ili wapate vyeo na pesa.
Kumbe wananomoa nchi yao.
 
Kwa hiyo majaliwa akaondoka bichwa limevimba huku mashekhe wakikunja bahasha zao na kuingia mtaani na kuwaeleza wananchi tulikuwa tunazuga tu.
 
😄

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…