umeona eeh, tukubali tu JPM kaleta baraza lenye sura ya kitaifa, wasio tutakia mema ndio wanasemaet , lina waislamu asilimia 3, mara mchagga mmoja, mara kimei kanyimwa uwaziri wa fedha, yani porojo zisizoisha.
Kwandikwa -shinyangaKwani hao kanda ya ziwa sio Watanzania?
Kipindi kile Kigoma ilikuwa na Mawaziri 3 hakuna aliyehoji.
1. MPANGO
2. NDITIYE
3. NDALICHAKO.
Na sasa hivi Kigoma ina mawaziri 2 hakuna anayehoji.
Halafu uwaziri siku hizi unagawiwa kwa ukanda au udini? Kwani mawaziri wanaenda kutekeleza sera za kanda au dini.
Kwenye suala la Ukanda ingekuwa Chadema kweli ningekubali kuwa kulitakiwa kuwe na mawawzir 50 kuwe na uwakilishi wa kila kanda.
Pumbavuu kabisa, sasa hivi mmeanza kuhubiri ukanda na udini utafikiri hii ni serikali ya kidini
Mikoa ipo 30, sasa sijui hawa watu walitaka kila mkoa atoke waziri hata kama hana sifa anazozitaka mwenye kuteua. Tulizoea kupeana tu vyeo hata kama mtu hana sifa ilimradi ionekana kuna kubalance maeneo. Hapo sasa ndipo tulikuwa tunajaza wale jamaa waliokuwa wakieleza makongamano ya kimataifa " Tanzania ni muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zimbabwe uliofanyika mwaka one thousand nineteen sixty four.Wizara 23 tuu siko kila mtanzania anaweza kuwa waziri.
Kuna mambo mengine mengi tunaweza kufanya na yakaletea nchi maendeleo na heshma kubwa sana
Mungu ibariki Tanzania
Kweli kabisa BillMikoa ipo 30, sasa sijui hawa watu walitaka kila mkoa atoke waziri hata kama hana sifa anazozitaka mwenye kuteua. Tulizoea kupeana tu vyeo hata kama mtu hana sifa ilimradi ionekana kuna kubalance maeneo. Hapo sasa ndipo tulikuwa tunajaza wale jamaa waliokuwa wakieleza makongamano ya kimataifa " Tanzania ni muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zimbabwe uliofanyika mwaka one thousand nineteen sixty four.
Ni kweli kabisa tunahitaji wachapakazi hata ikiwa wote watatoka Kigoma sawa tu. Nani atapinga kazi ya Mpango na Ndalichako au Kabudi?
Kwandikwa -shinyanga
Katambi -shinyanga
Biteko- shinyanga
Mashimba- simiyu
Kalemani -Geita
Mabula-Mwanza
Bashungwa- kagera
Waitara-Mara
Kuna tathmini ya kawaida sana katika Baraza jipya!!
Wanawake 4
Wanaume 19...
Em orodhesha hao wakristo 20 na madhehebu yao hapa.Waislam 3
Wakristo 20
Taaratibu mtanyooka...5 tenaKanda ya nyanda za juu HAKUNA.
Hili ni Baraza ya kanda ya Ziwa.
Katiba inaelekeza kuzingatia usawa sasa haiwezi kutamka wazi usawa wa kidini au kikabila/kikanda.Kwani hao kanda ya ziwa sio Watanzania?
Kipindi kile Kigoma ilikuwa na Mawaziri 3 hakuna aliyehoji.
1. MPANGO
2. NDITIYE
3. NDALICHAKO...
Kitila - singida14. Kitila - Dar
15. Ndugulile - Dar
Mkenda - RomboKwandikwa -shinyanga
Katambi -shinyanga
Biteko- shinyanga
Mashimba- simiyu
Kalemani -Geita
Mabula-Mwanza
Bashungwa- kagera
Waitara-Mara
Mwigullu Nchemba!Em orodhesha hao wakristo 20 hapa. Wengi wa hao unaita wakristo ni wapagani kabsaaa
Tunashindwa kutofautisha kuteuliwa na kuendelea kutumikia nafasi zao.Kuna tathmini ya kawaida sana katika Baraza jipya!!
Wanawake 4
Wanaume 19....
ali-tumbuliwa u-kurugenzi CRDB akawekwa abdul Majid, sasa Kimei badala ya kukaa nyumbani na kucheza na wajukuu zake kaenda kudanganya wamarangu eti katumwa na Magufuli agombee ubunge alafu atakuwa waziri wa fedha, hivi hizo nafasi lini vijana watashika kama mtu ana kitukuu kimoja na hataki kuachia nafasi?Quote aliyesema kimei kanyimwa uwaziri.
Afterall kimei sjui nini kimemuingiza ktk siasa, unapewa uwaziri unatukanwa mkeo na watoto wanakuonaje, watakuona poyoyo tu
KusiniLukuvi, Silinde na Dr Dugange wanatoka kanda gani?