Tetesi: Baraza la Mawaziri kufanyiwa mabadiliko karibuni

Tetesi: Baraza la Mawaziri kufanyiwa mabadiliko karibuni

Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo Dr.Bashiru alionewa?!!!

Kuna mambo mengine mazito yanayokosewa na viongozi wetu wateuliwa si lazima tuambiwe sisi raia....lengo ni zuri tu.... ni kulinda nchi na Umoja wetu.....

#SiempreURT



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Wa msoga si ndo alimweka kwenye kiti kikuu bibi yetu lazima amwonee aibu kila jambo atalosema ndio kaka haina shida
 
Kuna source yangu Muhimu huenda nami nashiriki, niiweke ilivyo Mama Samia ambaye ni Rais wa Tanzania atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na cha kufurahisha kuna sekta kazigusa

Zaidi ya Mawaziri 5 watabadilishwa,
Makatibu wakuu 7 watabadilishwa

Na wakurugenzi mbalimbali

Je, BASHIRU anarejea kivingine ?

Tu subiri week hii na ijayo


Britanicca

UPDATES
Ameongezeka Kitila Mkumbo
Mwigulu kapewa ilomegwa
These are very cosmetic changes ambazo tumeshaziona mara nyingi,they have come and gone na hatukuona any changes in succesive CCM governments katika utendaji,it's business as usual.

Tunachotaka sasa sio cosmetic changes,we want CCM out,hilo ndilo lengo la Watanzania sasa,and there is no going back.

Mwisho namshauri Bashiru asikubali any appointment in this corrupt government,atajichafua bure.

Hata hivyo kwangu mapinduzi yanayokea Africa is a new dawn.Nadhani tawala zote kandamizi ambazo zimeibia watu wao rasilimali wakae chonjo,I mean zote,without exception,ikiwemo Tanzania.

Haiwezekani baada ya miaka sitini na tatu ya Uhuru tukiwa na rasilimali nyingi kiasi hiki,bado watu wetu wengi hawana maji,na hata hao wachache wanaopata maji si safi na salama;watu wanakufa kwa sababu hawana huduma za afya;watoto wengine hawasomi kwa kuwa wazazi wao hawawezi kuwapeleka shule kwa kuwa hawana michango,madaftari na kalamu au uniform; Elimu inayotolewa ni chini ya kiwango,shule hazina mazingira mazuri ya kusomea na vitendea kazi;watu wetu hawana nyumba bora za kuishi ;watu wetu wanapata mlo mmoja tu kwa siku na wengine hawapati kabisa nk.nk..

No, lazima kama Watanzania tufike mahali tuseme hapana hii haivumiliki tena inatosha,na tufanye kitu ambacho kitatutoa kwenye uonevu huu
 
Kuna source yangu Muhimu huenda nami nashiriki, niiweke ilivyo Mama Samia ambaye ni Rais wa Tanzania atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na cha kufurahisha kuna sekta kazigusa

Zaidi ya Mawaziri 5 watabadilishwa,
Makatibu wakuu 7 watabadilishwa

Na wakurugenzi mbalimbali

Je, BASHIRU anarejea kivingine ?

Tu subiri week hii na ijayo


Britanicca

UPDATES
Ameongezeka Kitila Mkumbo
Mwigulu kapewa ilomegwa
Hii ilikuwa ramli, haiwezekani utabiri mwezi wa 4 ije kutokea wa 8.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom