DOUGLAS MAKERE
Member
- Feb 23, 2018
- 12
- 10
Atakwenda tume ya mipango -MNchemba
Wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi.Mmeelewa?
Wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi.Mmeelewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakwenda tume ya mipango -MNchemba
Wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi.Mmeelewa?
Tetetsi zinasema kuwa muuza unga mashuhuri Ridhiwani Kikwete atakuwa makamu wa rais, just imagine wauza unga watakavyopiga vigelele hapa mjini.Kuna source yangu Muhimu huenda nami nashiriki, niiweke ilivyo Mama Samia ambaye ni Rais wa Tanzania atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na cha kufurahisha kuna sekta kazigusa
Zaidi ya Mawaziri 5 watabadilishwa,
Makatibu wakuu 7 watabadilishwa
Na wakurugenzi mbalimbali
Je, BASHIRU anarejea kivingine ?
Tu subiri week hii na ijayo
Britanicca
Ww unafikiri tatizo ni la nani .huoni kuwa huyu unayemwita raisa ni mweupe kichwani .ukiwa na mtoto wako asiyejua kipi kinafaa na kipi hakinifai shida ni ya nani .hizo ni basic concept achilia mbali mabo makubwaKama Samia hatakuwa amejifunza,itakuwa bad luck for her.Ushauri wangu kwake wa bure ni huu:anybody affiliated to Kikwete in any way or form ni fisadi in some way,aachane naye,watu wazuri wapo.Kwa bahati mbaya sana,nadiriki kusema amezunguukwa na wahuni na mafisadi,watu ambao nia yao ni kumharibia na kuiibia nchi.Inasikitisha kwamba watu wazuri amewasukumia mbali kwa sababu ya ushauri mbovu.Watu kama Bashiru na Karamagi ni assets kwa Taifa letu, they should come back,chuki binafsi na majungu hayatatusaidia sana.Ujinga kama Sukuma gang etc.should not be tolerated,there is nothing like Sukuma gang.Hao wenye notions hizo ndio wezi nchini mwetu na wanaoleta uhasama miongoni mwa watanzania,wasivumiliwe.
Mim nafikiri yeye ndo tuanze kumbadilisha kwanzaKubadilisha waziri 1 inagharimu kiasi gani cha pesa za walipa kodi? kumtoa maana yake ulikosea kumuweka. sasa gharama alipe nani?
Tuleteeni katiba mpya turekebishe uzembe huu wa kuteua kimakosa kwa kuangalia juu juu
Nitaamini nikishuhudia uapisho waoKuna source yangu Muhimu huenda nami nashiriki, niiweke ilivyo Mama Samia ambaye ni Rais wa Tanzania atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na cha kufurahisha kuna sekta kazigusa
Zaidi ya Mawaziri 5 watabadilishwa,
Makatibu wakuu 7 watabadilishwa
Na wakurugenzi mbalimbali
Je, BASHIRU anarejea kivingine ?
Tu subiri week hii na ijayo
Britanicca
Jamani kwa mandondo ni sehemu gn tanga?,hebu nionyesheni na mimi.Huko v8 zinapishana tu hyu kaingia hyu katoka....
Ova
Huyo ana sir nyingi za upigaji wa kidola hawezi ondolewa.Mwigulu anabaki au anaondoka!?
Kama migulu safari hii mkeka wake utachanika tu hata aende milima ya kidalu kiomboiUtakula unachoota
Mwigulu anabaki au anaondoka!?
Kwa machoWe unaonaje ?
Nasikoa kipara amehamia Kwa makamu mkt akishawishi aombewe mama asimtumbueHuko v8 zinapishana tu hyu kaingia hyu katoka....
Ova
Kama Samia hatakuwa amejifunza,itakuwa bad luck for her.Ushauri wangu kwake wa bure ni huu:anybody affiliated to Kikwete in any way or form ni fisadi in some way,aachane naye,watu wazuri wapo.Kwa bahati mbaya sana,nadiriki kusema amezunguukwa na wahuni na mafisadi,watu ambao nia yao ni kumharibia na kuiibia nchi.
Inasikitisha kwamba watu wazuri Samia amewasukumia mbali kwa sababu ya ushauri mbovu.Watu kama Bashiru na Karamagi ni assets kwa Taifa letu, they should come back,chuki binafsi na majungu hayatatusaidia sana Kama nchi.Ujinga kama Sukuma gang etc.should not be tolerated,there is nothing like Sukuma gang.Hao wenye notions hizo ndio wezi nchini mwetu na wanaoleta uhasama miongoni mwa Watanzania,wasivumiliwe.
Karamagi alifanya kazi nzuri sana nishati and he was real committed,kwa nini aliondolewa na kitendawili.Bashiru ni Mtanzania halisi ambae tunamjua tangu UDSM,anaipenda nchi yake upeo,but was also removed in weird circumstances.Naamini makosa ya both Karamagi and Bashiru ni kuipenda nchi yao na Watanzania na kwa hiyo kuwa at logger heads na the "State Capture" kama Hayati Magufuli.Daaah! Hao wahaya wenzangu uliowataja imebidi nicheke, kwa hiyo hao ndio watu wazuri?!