Tetesi: Baraza la Mawaziri kufanyiwa mabadiliko karibuni

Status
Not open for further replies.

Wa msoga si ndo alimweka kwenye kiti kikuu bibi yetu lazima amwonee aibu kila jambo atalosema ndio kaka haina shida
 
These are very cosmetic changes ambazo tumeshaziona mara nyingi,they have come and gone na hatukuona any changes in succesive CCM governments katika utendaji,it's business as usual.

Tunachotaka sasa sio cosmetic changes,we want CCM out,hilo ndilo lengo la Watanzania sasa,and there is no going back.

Mwisho namshauri Bashiru asikubali any appointment in this corrupt government,atajichafua bure.

Hata hivyo kwangu mapinduzi yanayokea Africa is a new dawn.Nadhani tawala zote kandamizi ambazo zimeibia watu wao rasilimali wakae chonjo,I mean zote,without exception,ikiwemo Tanzania.

Haiwezekani baada ya miaka sitini na tatu ya Uhuru tukiwa na rasilimali nyingi kiasi hiki,bado watu wetu wengi hawana maji,na hata hao wachache wanaopata maji si safi na salama;watu wanakufa kwa sababu hawana huduma za afya;watoto wengine hawasomi kwa kuwa wazazi wao hawawezi kuwapeleka shule kwa kuwa hawana michango,madaftari na kalamu au uniform; Elimu inayotolewa ni chini ya kiwango,shule hazina mazingira mazuri ya kusomea na vitendea kazi;watu wetu hawana nyumba bora za kuishi ;watu wetu wanapata mlo mmoja tu kwa siku na wengine hawapati kabisa nk.nk..

No, lazima kama Watanzania tufike mahali tuseme hapana hii haivumiliki tena inatosha,na tufanye kitu ambacho kitatutoa kwenye uonevu huu
 
Hii ilikuwa ramli, haiwezekani utabiri mwezi wa 4 ije kutokea wa 8.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…