The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Acha kupotosha wewe,Basi umewekeza na unaishi peke yako huko ndio maana unasema Kuna mgao..Kweli ukiwa unakula hutakiwi kuongea.
Unaongea kuhusu hiyo Mikoa utasema Tanzania ni kisiwa, aliyekupa hizo taarifa mwambie arejee Tena Site. Hiyo Mikoa bado ina mgao Chief, wengine tumewekeza hiyo Mikoa na kufanya vibiashara vyetu huko.
Anyways, ngoja tusubirie Ukame uishe ili huo Mgao uishe na sisi tuache kutumia haya majenereta yetu
Wataochukua nafasi hizo watakua wazuri kuliko hao wanaotoka?Avunje tu Baraza la Mawaziri, PM atoke tu maana sioni anachofanya na makamu wake. Pili Simbachawene na wenzie wenye kubweteka kama yeye watolewe
Chadema nani mzembe?, Kuna viongozi wa chadema wengi wamestaafu kwA hiali yao, mfano makene, yerico nyerere, etc,, hatuna wazembe😁Vikao vya CCM haviachagi wazembe salama sio wale wengine.
Ukiwa kwenye siku zako una kiherehere sana wewe chokoMmezoea kurogana huko ufipa basi unajua kila sehemu ni hivyo.
Kwani Rais hana uwezo wa kumpiga chini Waziri Mkuu?Bora umempa Elimu na sijuwi Kama ataelewa kwa uharaka,Ngoja nimsubiri maana badala ya kukubali anaweza kuja kuporomosha matusi
Naomba nikulipe perdiem ya siku 2 na nauli ya ndege kuja na kurudi uje ushuhudie ninachosema.Acha kupotosha wewe,Basi umewekeza na unaishi peke yako huko ndio maana unasema Kuna mgao..
Impossible, majaliwa ni PM aliefit vizuri sana pale,,Kwanini unaondoa option ya kuvunjwa?
Inawezekana Raisi akavunja kabisa Baraza la mawaziri ili aanze upya. Kama atafanya hivyo atakuwa amefanya jambo sahihi.
Hao uliowataja ni wachapakazi wazuri,, taja wengineHuyo Bibi Tozo hana MAAJABU yoyote.
Hata akibadili BARAZA mara 200 litabaki vile vile, Kwasababu Watoto wa VIGOGO wanaovuruga HAWEZI kuwatoa.
Kwahiyo MAKAMBA, NAPE, MWIGULU, RIDHIWANI, MCHENGERWA wataendelea KUWEPO.
Hapana kiongozi,kuvunjwa napo inawezekana,KATIBA haisemi kwamba uPM ni nafac ya kudumuSafi mkuu nafurahi kuona unawajibu hawa watoto kitaalamu zaid
Kudos sana mkuu wa bodi
Majaliwa yupo yupo sana mkuu,, hakuna mtu wa kumu outperform kwa sasaSasa mkuu Kwa nini ashindwe kumpunzisha?? Ili Baraza livunjwe. Atafute PM mwingine. Why mnafanya kutowezekana.
Tulishuhudia hata speaker akiwakemea mawaziri. Wazwaz. So haishindakani ikiwa PM hafanyi vizuri
Wabongo wapigaji hata aje nani,, shida ya hii nchi ni viongozi wa chini, kuanzi VEO hadi wakurugenzi na makatibu wakuu,, hawa ndo wanahitaji kuondolewa wote,, mawaziri wako vizuri tuCAG anaripoti uozo kila mwaka so hapo kashindwa kuisimamia utekelezaji wa kazi.
Viongozi wa chini hawana jeuri ya kupiga Kama wa Juu hawapigiWabongo wapigaji hata aje nani,, shida ya hii nchi ni viongozi wa chini, kuanzi VEO hadi wakurugenzi na makatibu wakuu,, hawa ndo wanahitaji kuondolewa wote,, mawaziri wako vizuri tu
Ku fit kupi Kama wizi umetamalaki toka zama za Jiwe?Impossible, majaliwa ni PM aliefit vizuri sana pale,,
Sasa waziri atapiga nini wakati hashiki hela?,, Nchi inapigwa na hao viongozi wa chini na hakuna kitu waziri atafanya,, huo ndo ukweliViongozi wa chini hawana jeuri ya kupiga Kama wa Juu hawapigi
Kabisa. Hawa awachomoe awaache nje bila wizara. Bila ya hivyo haku atakachokuwa amekifanyaSioni kama italeta nafuu yeyote labda kama atambadiri February na Daktari wa Uchumi.
Wizara zenye shida ni mbili tu, Nishati pamoja na Fedha. Huko kwingine naona hakuna shida Sana.
Hao ndo mwiba wa upinzani,, wakitoka hao chadema watakua na cakewalk kuelekea magogoni😆Nitafurahi sana akimtoa wa kwanza kabisa kwa herufi kubwa NAMBA MOJA NI MWIGURU NCHEMBA out bila wizara na JANUARY MAKAMBA out bila wizara. Anitolee kwanza hizi mitu mbili.
Ili asimchome Katibu Mkuu wake lazima amtengee fungu lake kwenye kila mradi au tenda..Sasa waziri atapiga nini wakati hashiki hela?,, Nchi inapigwa na hao viongozi wa chini na hakuna kitu waziri atafanya,, huo ndo ukweli
Hiyo yote ya nini kwa alivyoandika tu kila mmoja humu ameshajua ni mabadiriko. Miccm akili zenu hata hili nalo unaliona la kusahihisha hapo unaona umeupiga mwingiBora umempa Elimu na sijuwi Kama ataelewa kwa uharaka,Ngoja nimsubiri maana badala ya kukubali anaweza kuja kuporomosha matusi
Mfano mdogo, watu wanadai makamba hafai, kisa ni mgao wa umeme sana sana,Ili asimchome Katibu Mkuu wake lazima amtengee fungu lake kwenye kila mradi au tenda..