The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Hakuna Meneja atataka kufukuzwa na Waziri kisa umeme,kwa hiyo matatizo sio ya Makamba Wala Meneja Wala watendaji wa chini..Mfano mdogo, watu wanadai makamba hafai, kisa ni mgao wa umeme sana sana,
Sasa hebu fikiria kwa akili yako unadhani makamba anapenda mgao uwepo ili kazi yake iharibike?,
Watendaji wa chini wanaweza kujivuta vuta ili kumharibia na hakuna kitu atafanya, π
Endeleeni tu kumdanganya mama kwamba hawa ndio mwiba kwa CHADEMA. Huku mkijipigia.Hao ndo mwiba wa upinzani,, wakitoka hao chadema watakua na cakewalk kuelekea magogoni[emoji38]
Mzigo wa pesa umewekwa wa kutosha nyerere HEP,, bado kinyerezi inakuwa improved, etc,Hakuna Meneja atataka kufukuzwa na Waziri kisa umeme,kwa hiyo matatizo sio ya Makamba Wala Meneja Wala watendaji wa chini..
Weka mzigo wa Pesa Mambo iwe vizuri
Tatizo la jamaa yetu nafikiri lilianza pale alipodanganya JPM yupo mzima wa Afya akichapa kazi ofisini, sasa nafikiri kaendeleza kamchezo hakoImpossible, majaliwa ni PM aliefit vizuri sana pale,,
Uwe unaelewa matatizo ya Tanesco sio tuu umeme kidogo Bali miundombinu chakavu,ili kutatua uchakavu inahitaji til.4..Mzigo wa pesa umewekwa wa kutosha nyerere HEP,, bado kinyerezi inakuwa improved, etc,
Meanwhile mgao upo sababu ya ukame,, na mahitaji ya umeme kuongezeka sababu viwanda na connection zimeong3zeka, still kunA watu wanadai makamba analeta mgao hivyo atokeπ,
Sasa waziri kazi yake nini?. Wananchi wanaona. Kwani kipindi cha Magu ilikuweje mpaka umeme tulishaanza kusahau kwamba kuna kukatika?. Mpaka alisema wazi umeme tutauza mpaka nje. Nini kazi yake hapo makamba?. Keleman aliwezaje kuliweka sawa hili?Mfano mdogo, watu wanadai makamba hafai, kisa ni mgao wa umeme sana sana,
Sasa hebu fikiria kwa akili yako unadhani makamba anapenda mgao uwepo ili kazi yake iharibike?,
Watendaji wa chini wanaweza kujivuta vuta ili kumharibia na hakuna kitu atafanya, [emoji1]
Maendeleo yapi?, Jpm miradi yake mikubwa, amefariki bado ikiea kwenye initial stage,, na sasa mingi inaelekea kuishi,, au jpm aliacha pesa za kumalizia miradi?, Au anatumaga hela kutoka mbinguni?,Endeleeni tu kumdanganya mama kwamba hawa ndio mwiba kwa CHADEMA. Huku mkijipigia.
Siku hizi wananchi wanaona na wengi wameelimika. Swala la matozo kila kona mwananchi gani anafurahia?. Hizo tozo hakuna inachofanya. MAGU alikuwa hana matozo hayo lakini linganisha maendelea aliyofanya na kipindi hiki mnachoruka ruka tu.
Swala la umeme kukatika masaa 24 mwananchi gani anafurahia. Swala la kupanda kuingiza umeme kutoka 27 mpaka laki 320+ mwananchi gani anafurahia?
Hakuna kisichowezekana,wewe unaweza kumuona ana fit lakini mamlaka ya uteuzi isimuone hivyo. Tusubiri tu tuone.Impossible, majaliwa ni PM aliefit vizuri sana pale,,
Angeuza umeme tokA chanzo kipi?, Bahati ni kuwa, miaka 5 ya jpm, mvua zilinyesha mno, hapakua na ukame,, kihansi ilikuwa na maji full timeSasa waziri kazi yake nini?. Wananchi wanaona. Kwani kipindi cha Magu ilikuweje mpaka umeme tulishaanza kusahau kwamba kuna kukatika?. Mpaka alisema wazi umeme tutauza mpaka nje. Nini kazi yake hapo makamba?. Keleman aliwezaje kuliweka sawa hili?
Nilisikia mkurugenzi wa Tanesco,, uchakavu wa miundo mbinu linafanyiwa kazi continuously,, tatizo kubwa ni ukame na mahitaji kuongezeka, kwani maendeleo yamezidi na hivyo mahitaji yana exceed production, hasa kunapokua na upungufu wa maji kihansi , na akaahidi miezi 30 iiayo, nyerere HEP itakua tayari na mgao kuisha,Uwe unaelewa matatizo ya Tanesco sio tuu umeme kidogo Bali miundombinu chakavu,ili kutatua uchakavu inahitaji til.4..
On top of that Tanesco wanasema wanauza unit Bei ya chini kuliko gharama za uendeshaji na kuliko Nchi zote za EAC ndio maana ili.kufidia hiyo hasara wanataka wauze ume nje ya Nchi kwa Bei ya soko.
Hawa wengine hata ukiwafahamisha kuhusu hilo hawaelewi, utaishia kupiga kelele tu. Mfano huduma zimeongezwa vijijini kwa kupitia REA lakini miundombinu iko pale pale na miaka inakwenda mbele, halafu bado tunatarajia kupata umeme bila shida. Aiseee....Angeuza umeme tokA chanzo kipi?, Bahati ni kuwa, miaka 5 ya jpm, mvua zilinyesha mno, hapakua na ukame,, kihansi ilikuwa na maji full time
Ukame umeleta mgao Ila mvua zikinyesha mgao utaishia Ila katika katika itakuwa pale pale..Nilisikia mkurugenzi wa Tanesco,, uchakavu wa miundo mbinu linafanyiwa kazi continuously,, tatizo kubwa ni ukame na mahitaji kuongezeka, kwani maendeleo yamezidi na hivyo mahitaji yana exceed production, hasa kunapokua na upungufu wa maji kihansi , na akaahidi miezi 30 iiayo, nyerere HEP itakua tayari na mgao kuisha,
Sawa,, kuna siku nilisafiri,, nimegundua hii nchi ni kubwa mno,, nilikuwa nacheki nguzo za umeme, hadi ndani ndani huko sweken,, Tanesco wana kazi ngumu sana sana,,Ukame umeleta mgao Ila mvua zikinyesha mgao utaishia Ila katika katika itakuwa pale pale..
Tanesco wanahitaji kubadili miundombinu iliyochoka kuqnzia njia za kusafirisha umeme Hadi matransfoma nk so ndio hiyo walisema inahitaji Til.4 ila.kwa kuanzia wamepewa Bil.500
Mungu aendelee kukutunza katika hekima hiyo na kuizidisha piaNaomba mheshimu Rais wa nchi. Tumia vema uhuru wako wa maoni ndugu# Uhuru wa maoni isiwe jinai.πππ
Kuwa wewe serious umpindue sasa..kama unaona hayupo serious.Tangu lini Samia akawa serious?
Acha kutisha watu wewe.Naomba mheshimu Rais wa nchi. Tumia vema uhuru wako wa maoni ndugu# Uhuru wa maoni isiwe jinai.[emoji120][emoji120][emoji120]
Hili swali sasa hutakiwi kumuuliza Mama peke yake bali unatakiwa uwaulize maRais wote duniani ambao walishawahi kuvunja Mabaraza ya Mawaziri.Kama alikuwa anajua ana watendaji wabovu kwenye serikali yake, siku zote alikuwa anasubiri nini kuwaondoa?
By the way, my signature has vanished automatically; may be some suggestions from you on how I may recover it? I can see you are still using oneWatendaji anaowaona wabovu hana uwezo wa kuwatumbua maana wanaripoti kwa aliyewatuma kwake wateuliwe!
We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when a men are afraid of the light." -Plato.
Whom do you think she can replace him with?Wala haihitaji kuvunja Bunge Ni kimfukuza PM tuu..
Na in fact ili awe comfortable naunga mkono PM akae pembeni Mama aanze upya