Baraza la Mawaziri kuvunjwa?

Baraza la Mawaziri kuvunjwa?

Mfano mdogo, watu wanadai makamba hafai, kisa ni mgao wa umeme sana sana,
Sasa hebu fikiria kwa akili yako unadhani makamba anapenda mgao uwepo ili kazi yake iharibike?,
Watendaji wa chini wanaweza kujivuta vuta ili kumharibia na hakuna kitu atafanya, šŸ˜„
Hakuna Meneja atataka kufukuzwa na Waziri kisa umeme,kwa hiyo matatizo sio ya Makamba Wala Meneja Wala watendaji wa chini..

Weka mzigo wa Pesa Mambo iwe vizuri
 
Hao ndo mwiba wa upinzani,, wakitoka hao chadema watakua na cakewalk kuelekea magogoni[emoji38]
Endeleeni tu kumdanganya mama kwamba hawa ndio mwiba kwa CHADEMA. Huku mkijipigia.
Siku hizi wananchi wanaona na wengi wameelimika. Swala la matozo kila kona mwananchi gani anafurahia?. Hizo tozo hakuna inachofanya. MAGU alikuwa hana matozo hayo lakini linganisha maendelea aliyofanya na kipindi hiki mnachoruka ruka tu.
Swala la umeme kukatika masaa 24 mwananchi gani anafurahia. Swala la kupanda kuingiza umeme kutoka 27 mpaka laki 320+ mwananchi gani anafurahia?
 
Hakuna Meneja atataka kufukuzwa na Waziri kisa umeme,kwa hiyo matatizo sio ya Makamba Wala Meneja Wala watendaji wa chini..

Weka mzigo wa Pesa Mambo iwe vizuri
Mzigo wa pesa umewekwa wa kutosha nyerere HEP,, bado kinyerezi inakuwa improved, etc,
Meanwhile mgao upo sababu ya ukame,, na mahitaji ya umeme kuongezeka sababu viwanda na connection zimeong3zeka, still kunA watu wanadai makamba analeta mgao hivyo atoke😁,
 
Impossible, majaliwa ni PM aliefit vizuri sana pale,,
Tatizo la jamaa yetu nafikiri lilianza pale alipodanganya JPM yupo mzima wa Afya akichapa kazi ofisini, sasa nafikiri kaendeleza kamchezo hako
 
Mzigo wa pesa umewekwa wa kutosha nyerere HEP,, bado kinyerezi inakuwa improved, etc,
Meanwhile mgao upo sababu ya ukame,, na mahitaji ya umeme kuongezeka sababu viwanda na connection zimeong3zeka, still kunA watu wanadai makamba analeta mgao hivyo atoke😁,
Uwe unaelewa matatizo ya Tanesco sio tuu umeme kidogo Bali miundombinu chakavu,ili kutatua uchakavu inahitaji til.4..

On top of that Tanesco wanasema wanauza unit Bei ya chini kuliko gharama za uendeshaji na kuliko Nchi zote za EAC ndio maana ili.kufidia hiyo hasara wanataka wauze ume nje ya Nchi kwa Bei ya soko.
 
Mfano mdogo, watu wanadai makamba hafai, kisa ni mgao wa umeme sana sana,
Sasa hebu fikiria kwa akili yako unadhani makamba anapenda mgao uwepo ili kazi yake iharibike?,
Watendaji wa chini wanaweza kujivuta vuta ili kumharibia na hakuna kitu atafanya, [emoji1]
Sasa waziri kazi yake nini?. Wananchi wanaona. Kwani kipindi cha Magu ilikuweje mpaka umeme tulishaanza kusahau kwamba kuna kukatika?. Mpaka alisema wazi umeme tutauza mpaka nje. Nini kazi yake hapo makamba?. Keleman aliwezaje kuliweka sawa hili?
 
Endeleeni tu kumdanganya mama kwamba hawa ndio mwiba kwa CHADEMA. Huku mkijipigia.
Siku hizi wananchi wanaona na wengi wameelimika. Swala la matozo kila kona mwananchi gani anafurahia?. Hizo tozo hakuna inachofanya. MAGU alikuwa hana matozo hayo lakini linganisha maendelea aliyofanya na kipindi hiki mnachoruka ruka tu.
Swala la umeme kukatika masaa 24 mwananchi gani anafurahia. Swala la kupanda kuingiza umeme kutoka 27 mpaka laki 320+ mwananchi gani anafurahia?
Maendeleo yapi?, Jpm miradi yake mikubwa, amefariki bado ikiea kwenye initial stage,, na sasa mingi inaelekea kuishi,, au jpm aliacha pesa za kumalizia miradi?, Au anatumaga hela kutoka mbinguni?,
Nchi inaendelea kwa kulipa kodi, tozo ikiwemo
 
Sasa waziri kazi yake nini?. Wananchi wanaona. Kwani kipindi cha Magu ilikuweje mpaka umeme tulishaanza kusahau kwamba kuna kukatika?. Mpaka alisema wazi umeme tutauza mpaka nje. Nini kazi yake hapo makamba?. Keleman aliwezaje kuliweka sawa hili?
Angeuza umeme tokA chanzo kipi?, Bahati ni kuwa, miaka 5 ya jpm, mvua zilinyesha mno, hapakua na ukame,, kihansi ilikuwa na maji full time
 
Uwe unaelewa matatizo ya Tanesco sio tuu umeme kidogo Bali miundombinu chakavu,ili kutatua uchakavu inahitaji til.4..

On top of that Tanesco wanasema wanauza unit Bei ya chini kuliko gharama za uendeshaji na kuliko Nchi zote za EAC ndio maana ili.kufidia hiyo hasara wanataka wauze ume nje ya Nchi kwa Bei ya soko.
Nilisikia mkurugenzi wa Tanesco,, uchakavu wa miundo mbinu linafanyiwa kazi continuously,, tatizo kubwa ni ukame na mahitaji kuongezeka, kwani maendeleo yamezidi na hivyo mahitaji yana exceed production, hasa kunapokua na upungufu wa maji kihansi , na akaahidi miezi 30 iiayo, nyerere HEP itakua tayari na mgao kuisha,
 
Angeuza umeme tokA chanzo kipi?, Bahati ni kuwa, miaka 5 ya jpm, mvua zilinyesha mno, hapakua na ukame,, kihansi ilikuwa na maji full time
Hawa wengine hata ukiwafahamisha kuhusu hilo hawaelewi, utaishia kupiga kelele tu. Mfano huduma zimeongezwa vijijini kwa kupitia REA lakini miundombinu iko pale pale na miaka inakwenda mbele, halafu bado tunatarajia kupata umeme bila shida. Aiseee....
 
Nilisikia mkurugenzi wa Tanesco,, uchakavu wa miundo mbinu linafanyiwa kazi continuously,, tatizo kubwa ni ukame na mahitaji kuongezeka, kwani maendeleo yamezidi na hivyo mahitaji yana exceed production, hasa kunapokua na upungufu wa maji kihansi , na akaahidi miezi 30 iiayo, nyerere HEP itakua tayari na mgao kuisha,
Ukame umeleta mgao Ila mvua zikinyesha mgao utaishia Ila katika katika itakuwa pale pale..

Tanesco wanahitaji kubadili miundombinu iliyochoka kuqnzia njia za kusafirisha umeme Hadi matransfoma nk so ndio hiyo walisema inahitaji Til.4 ila.kwa kuanzia wamepewa Bil.500
 
Sawa,, kuna siku nilisafiri,, nimegundua hii nchi ni kubwa mno,, nilikuwa nacheki nguzo za umeme, hadi ndani ndani huko sweken,, Tanesco wana kazi ngumu sana sana,,
Nachojua miaka 10 ijayo, hata nyerere HEP haitatosha,, maendeleo yanakuja kasi sana, viwanda kila kona, hata mafundi selemala sikuhizi hawatumii msumeno wa manual,, wanakata na kulanda mbao kwa umeme,, viwanda vya kukamua mafuta ya alz3t, viwanda vya bati, nondo, sukari kila kona,,
Iran wanatumia Gigawatt 7000,, lakini bado wanaanzisha nuclear power plants mpya za kutosha,
I mean as long as tunaendelea, mahitaji yanaongezeka, vyanzo vilivyopo lazima vitazidiwa tu,,
 
Kama alikuwa anajua ana watendaji wabovu kwenye serikali yake, siku zote alikuwa anasubiri nini kuwaondoa?
Hili swali sasa hutakiwi kumuuliza Mama peke yake bali unatakiwa uwaulize maRais wote duniani ambao walishawahi kuvunja Mabaraza ya Mawaziri.
Kwanza Mama yeye bado hajavunja; waulize wale ambao walishawahi kuvunja; Mzee Mwinyi yupo
 
Watendaji anaowaona wabovu hana uwezo wa kuwatumbua maana wanaripoti kwa aliyewatuma kwake wateuliwe!

We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when a men are afraid of the light." -Plato.
By the way, my signature has vanished automatically; may be some suggestions from you on how I may recover it? I can see you are still using one
 
Back
Top Bottom