Baraza la Mawaziri kuvunjwa?

Baraza la Mawaziri kuvunjwa?

Huyo Bibi Tozo hana MAAJABU yoyote.

Hata akibadili BARAZA mara 200 litabaki vile vile, Kwasababu Watoto wa VIGOGO wanaovuruga HAWEZI kuwatoa.

Kwahiyo MAKAMBA, NAPE, MWIGULU, RIDHIWANI, MCHENGERWA wataendelea KUWEPO.
Siyo lazima abadilishe wale ambao huwapendi wewe; kigezo atakachotumia siyo hicho, just in case
 
Inaelekea serikali ya rais Samia itavunja na kupangua Baraza la mawaziri

Kwa mjibu wa Samia Kuna watendaji ni wabovu ndani ya serikali yake.

NB: Watu wataanza kwenda kwa sangoma 😀😀😀!
Majaliwa cjui Kama atabaki,
Itoshe kusema mawaziri wote tumbo joto, Kama tokeo la form 4
 
Wataochukua nafasi hizo watakua wazuri kuliko hao wanaotoka?
Kama sisi sote ni wabovu, basi hakuna haja ya kuwa tunaendelea muda mrefu na wabovu wale wale; lazima tuwe tunabadilishana baada ya muda fulani. Kuna haja gani ya kuendelea indefinetely?
Hata hivyo naomba nikutie moyo kwamba kwenye million 60, wapo wengi tu ambao ni wazuri, mojawapo wakiwa ni wale ambao wapo sasa hivi kwenye baraza letu la Mawaziri
 
Kama alikuwa anajua ana watendaji wabovu kwenye serikali yake, siku zote alikuwa anasubiri nini kuwaondoa?

Au ndio alikuwa anasubiri huo mkutano wao wa NEC akatangazie huko?

She is not serious.
Bado alikuwa anataka set foothold ndani ya CCM
 
Mkuu Pascal kuna mambo chini kwa chini kuwa Kiranja Mkuu kila akitoa maagizo kwa wachini wake hakuna utekelezaji kisa pale JUU.

Sababu kuu ya pale JUU ni kwamba anaona Kiranja Mkuu anajitafutia umaarufu kuelekea chaguzi zijazo. Sasa anataka kumuonyesha kuwa ana nguvu kuliko yeye.
Hata hivyo majaliwa amekuwa akijituma Sana, kukinusuru chama
 
Mjinga Ni wewe,wizara ya Nishati itazalisha umeme kwa kutumia mkojo wako?

Kwa hiyo Wizara ndio ililta ukame? Achaga upumbavu afu usiehani Mikoa yote Kuna mgao.

Mwisho Ushaambiwa inahitaji til.4 umeme uache kukatika katika
Kwa hiyo wakati wa ile miaka mitano bila mgao, Mkuu ulikuwa unakojolea MTERA kila siku?? Kwani wakati huo kulikuwa hakuna ukame??
 
Kama alikuwa anajua ana watendaji wabovu kwenye serikali yake, siku zote alikuwa anasubiri nini kuwaondoa?

Au ndio alikuwa anasubiri huo mkutano wao wa NEC akatangazie huko?

She is not serious.
Uwezo mdogo
 
Inaelekea serikali ya rais Samia itavunja na kupangua Baraza la Mawaziri

Kwa mjibu wa Samia kuna watendaji ni wabovu ndani ya Serikali yake.

NB: Watu wataanza kwenda kwa sangoma [emoji3][emoji3][emoji3]!
Anayeamini kulishonashona Baraza la mawaziri mara kwa mara kunaleta ufanisi atujuze hapa.
 
Back
Top Bottom