Komeo Lachuma JF-Expert Member Joined Oct 31, 2014 Posts 7,926 Reaction score 17,030 Jan 8, 2022 #1 Haya maneno mnayatoa wapi? Kuwa baraza limepangwa na Kikwete na ameona amweke na mwanaye ndani? Acheni hizo... Rais samia naye ana weza chagua awatakao mwacheni jamani.
Haya maneno mnayatoa wapi? Kuwa baraza limepangwa na Kikwete na ameona amweke na mwanaye ndani? Acheni hizo... Rais samia naye ana weza chagua awatakao mwacheni jamani.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Jan 8, 2022 #2 Komeo Lachuma said: Haya maneno mnayatoa wapi? Kuwa baraza limepangwa na Kikwete na ameona amweke na mwanaye ndani? Acheni hizo... Rais samia naye ana weza chagua awatakao mwacheni jamani. Click to expand... Tumia akili nawewe hata kidogo usiwe Kama li nyumbunyumbu!
Komeo Lachuma said: Haya maneno mnayatoa wapi? Kuwa baraza limepangwa na Kikwete na ameona amweke na mwanaye ndani? Acheni hizo... Rais samia naye ana weza chagua awatakao mwacheni jamani. Click to expand... Tumia akili nawewe hata kidogo usiwe Kama li nyumbunyumbu!
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jan 8, 2022 #4 Komeo Lachuma said: Haya maneno mnayatoa wapi? Kuwa baraza limepangwa na Kikwete na ameona amweke na mwanaye ndani? Acheni hizo... Rais samia naye ana weza chagua awatakao mwacheni jamani. Click to expand... [emoji38][emoji38] hata mimi nawashangaa sana hao jamaa
Komeo Lachuma said: Haya maneno mnayatoa wapi? Kuwa baraza limepangwa na Kikwete na ameona amweke na mwanaye ndani? Acheni hizo... Rais samia naye ana weza chagua awatakao mwacheni jamani. Click to expand... [emoji38][emoji38] hata mimi nawashangaa sana hao jamaa
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,021 Reaction score 22,016 Jan 8, 2022 #5 Nimeona wizara mpya ya jinsia, wanawake na watu maalum imemegwa kutoka vizara ya afya. Swali. Jinsia inatofauti gani wanawake( maana jinsia ziko mbili me na ke)
Nimeona wizara mpya ya jinsia, wanawake na watu maalum imemegwa kutoka vizara ya afya. Swali. Jinsia inatofauti gani wanawake( maana jinsia ziko mbili me na ke)