Shining Light
JF-Expert Member
- Jan 8, 2024
- 406
- 523
Cabinet ya Kenya imeekaa kikao cha kujadiliana kuhusu mipango ya Sheria na mipango pamoja ya sera tofauti tofauti ili kuboresha hali ya Uchumi, kimefanyika Ikulu ya Nairobi na kikao cha kawaida cha tatu cha mwaka 2024.
Mbali na Uchumi kimejadili na kutathmini maendeleo yaliyofikiwa katika utekelezaji wa mipango muhimu kama ilivyoelezwa katika Mpango wa Utawala BETA( the bottom up Economic Transoforamtion Agenda).
Mbali na Uchumi kimejadili na kutathmini maendeleo yaliyofikiwa katika utekelezaji wa mipango muhimu kama ilivyoelezwa katika Mpango wa Utawala BETA( the bottom up Economic Transoforamtion Agenda).