Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

naomba kuifahamu kwa undani hii shule 'KISIMIRI'
KISMIRI ni special school wanafunzi wanao join pale vgezo lazima uwe umefaulu sana kwa sayansi na arts wapo boys and girls kifupi ipo level za ILBORU, TABORA BOYS, MZUMBE, MSALATO, KILAKALA, na KIBAHA .
 
Mleta mada umeexchange Tabora Boys ni ya 5 na Marian Boys ndio ya 6

Rekebisha tafadhali
 
S0248/0592

F

5

I

G/STUDIES - 'D' GEOGR - 'C' PHYSICS - 'A' ADV/MATHS - 'A

huyu dada popote utakaponiona nidai pepsi baridii.. wewe unajua
 
Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kidato cha Sita mwaka huu wa 2016 na wanaume wameongoza kwa wingi katika kumi bora, katibu mtendaji wa NECTA bado anaendelea kuongea mnaweza ona matokeo kwa website yao na ya TAMISEMI,

Ufaulu umeshuka kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa na mwaka 2015 ambapo ufaulu ulikuwa 98.87.

Shule 10 zilizofanya vizuri:
1.Kisimiri,-Arusha
2.Feza Boys,-Dar es Salaam
3.Alliance Girls,-Mwanza
4. Feza Girls,-Dar es Salaam
5. Marian Boys,-Pwani
6.Tabora Boys,-Tabora
7.Kibaha,-Pwani
8.Mzumbe-Morogoro
9.Ilboru,-Arusha
10. Tandahimba-Mtwara

Shule 10 zilizofanya vibaya:
1.Mpendae-Unguja
2.Ben Bella-Unguja
3.Tumekuja-Unguja
4.Green Bird Boys-Kilimanjaro
5.Jang'ombe-Unguja
6.Kiembe Samaki-Unguja
7.Tanzania Adventist-Arusha
8.Al- Ishan Girls-Unguja
9.Azania-Dar es Salaam
10.Lumumba-Unguja



KWA MATOKEO: BOFYA HAPA
 
Shule zilizofanya vibaya:

9.Azania-Dar es Salaam

Maskini shule yangu - nilikosoma kidato 1-4; shule maarufu enzi hizo. Shule walikosoma wengi wa viongozi wa sasa, Hussein Mwinyi akiwemo. Inasikitisha sana.
Sijui bado kuna kitengo vijana wa kitengo walikua hawasomi wao uhuni ndo hapo alitokaga marehemu justin yule aliyeuuwawa
 
Back
Top Bottom