Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

Naona wakongwe wameanza kurudi katika chart Tabora boys Kibaha mzumbe Ilboru ndani ya kumi bora tulishawasahau shule ınayoongoza ya Kisimiri pia ni ya serikali. Tabora girls wapo namba 13, kilakala -20, msalato 21. Imekuaje shule za serikali zimeibuka ghafla baada ya kuingia Magufuli? Zilishapotezwa kabisa ladha yake
bado Malangali Sec. imepotea sana iih chama sijui kwanini...!!!
Nakumbuka enzi zile za Mr. Seme, chama lilikua juu, daaaaah!!!
Mr.Seme, kama upo na nguvu rudi pale okoa jahazi, maaana enzi zako.. hadi tatu bora ulishika!!
 
H

Jamani hivi akina nani huwa wanasahihisha paper za General Studies? Mimi nilitoka kwenye mtihani nikijua nina A matokeo kutoka nikakuta F, sasa hebu ona hao vipanga walivyogalagazwa na GS🙄🙄🙄
haa haaaa...
hii GS ilininyima One bhana, yani hadi leo huwa siamin pamoja na kuapeal, ngoma ilidunda.
GS ni nooourmer, weka mbali na watoto....!!!
 
thanx jangwani mojaaaaa hyoo!!Leo nachinja kuku maana kanipelekesha huyu dogo balaaa!!
 
Kwenye hiyo orodha ya shule 10 zilizofanya vizuri sijaona shule kutoka Kilimanjaro. Nashangaa sana Kilimanjaro kukosa kwenye 10 bora wakati kina Mangi (Wachaga, wapenda sifa, watu wa majivuno) wanakitabia cha kujitapa kuwa wao nd'o wanazalisha wasomi wa nchi hii. Sasa wazalisha wasomi hata kwenye 10 bora hawapo, hivi kweli mnazalisha wasomi, au mnazalisha wanywa viroba?
 
Haya matokeo kuna siasa ndani yake, Serikali imefanya changes gani kwenye shule zake kwa mda huu mfupi kiasi kwamba ipandishe shule nne kwa mkupuo?
pili kwa ufaulubna changes hizi za TCU vyuo vingi vitakosa wanafunzi maana three nyingi hazina D mbili kama TCU wanavyotaka.
 
bado Malangali Sec. imepotea sana iih chama sijui kwanini...!!!
Nakumbuka enzi zile za Mr. Seme, chama lilikua juu, daaaaah!!!
Mr.Seme, kama upo na nguvu rudi pale okoa jahazi, maaana enzi zako.. hadi tatu bora ulishika!!
Mwaka jana malangali walijitahidi sana walikua wa 21 naona mwaka huu majanga haya duh
 
Shule zilizofanya vibaya:

9.Azania-Dar es Salaam

Maskini shule yangu - nilikosoma kidato 1-4; shule maarufu enzi hizo. Shule walikosoma wengi wa viongozi wa sasa, Hussein Mwinyi akiwemo. Inasikitisha sana.
 
Shule za huko Unguja vipi? kutwa mnalilia usawa kwenye teuzi za Magu wakati mmekalia kupiga madufu tu...
 
kwawale ambao matokeo yao hayakutoka kwa sababu mbalimbali ikiwemo kutolipa hela ya mtihani wa taifa,nimeona wamewekewa *E *E na wengine wamewekewa *s *s nini maana Yake Na tofauti zake
 
Back
Top Bottom