Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

naomba kuifahamu kwa undani hii shule 'KISIMIRI'
najisikia furaha sana kwa kutaka kwako kuifahamu,itafute kwa mtandao utaipata ila ukipaona huwezi amini mazingira ni mabaya ila ndo hivo tunafanya vizuri! nimemaliza hapo 2014 na tulikuwa wa 3 kitaifa pia
 
Habari Wana JF,

Haya watahiniwa mlitihaniwa 2016 jitazameni kama ni Elimu ya juu au diploma, matokeo yenu yapo hewani. Ila three nyingi hazitoenda chuo kikuu. Kwa maana mtu kapata DE, BE na kadhalika.
Hapo maanake vyuo vingi vitakosa wanafunzi
 
Shule 10 zilizofanya vibaya:
1.Mpendae-Unguja
2.Ben Bella-Unguja
3.Tumekuja-Unguja
4.Green Bird Boys-Kilimanjaro
5.Jang'ombe-Unguja
6.Kiembe Samaki-Unguja
7.Tanzania Adventist-Arusha
8.Al- Ishan Girls-Unguja
9.Azania-Dar es Salaam
10.Lumumba-Unguja

Azania hii hii niijuayo mimi? Kweli Dar es salaam inahitaji kuangaliwa upya. Vijana wamezidi ma-BASH
 
Ooohoo nimefanya ben bella ila namshkuru Mungu kupata kuendelea shule ya pili kufnya vbya ningeugua km ningefeli.
 
Hii serikali ijaribu kutafakali kwa kina.Alama za mwaka huu zimebanwa sana.
2016/2017
A.80_100
B.70_79
C.60_69
D.50_59
E.40_49
Hapa ukiwa na CEE huendi chuo eti mpaka uwe na D mbili.

2014.
A.75_100.
B+.60_64
B.50_59
C.40_49
D.35_39
E.sikumbuki.
Hapa ukiwa na D mbili ulikuwa unaenda chuo

Before 2014
A.75_100
B.65_74
C.55_64
D.45_54
E.35_44
hapa ukiwa na E mbili ulikuwa unaenda chuo.

Bora serikali ingeweka kuja chuo uwe na div 2 kama zamani 2007 huko,lakini kuliko sasa sasa ivi wamewabana sana wanafunzi.
 
Necta ya f6 zimeshatoka? Tuwekee website, wengine hizi ni breaking news
 
precious precious Kibaha an honoured special school......

struggle struggle for success is our school motto....
 
Unguja wamekalia kuimba ccm nambali wani..sasa vijana wao wameisoma namba...wamekua wa mwisho kitaifa
 
msigwa alishasema ukiona mtu ansimfu huy jamaa wa mamvii akapimwe akili. Ukiutafakar huu uz huu kwa makin utagundua huyo jamaa alyeupost ndo walewale wa kupimwa akili
 
da! azania jaman ni ya9 kutoka chini? mwaka juz walikua majiran zao TAMBAZA mwaka huu pia!
 
shule za serikali zimejitahidi this year
mambo yanaanza rudi kuwa kinyume, zamani ulikuwa ukisoma private unaonekana wewe ni failure, na serikali ni geneous, na hasa ufaulu kijijini we acha tu, lakini mambo yakaanza badilika kipindi cha mkapa, ukienda serikalini unaonekana failure na private wewe ni geneous, wacha zirudishe heshima aisee,
 
Gvt zimetisha top 10.
jamani baado hajatoklea wa kuvunja rekodi yaanguuuu hahahahahaha ila mko poa saaana wadogo zetu kazeni saaana nawasalimu toka ughaibuni. hata huku wanakubali kuwa kweli c ni vichwa na co mkia
 
Back
Top Bottom