Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

Aaaaa wapi Hali ni Ile Ile na tena sasa hivi Kuna Hali mbaya kwenye vyoo ni vibovu hatari
Vyoo tulikuwa tunavua nguo unaingia na bukta tu ,ukimaliza unarudi kuvaa nguo zako.
 
Soma hapo copy and paste for TCU -> Completed A –Level
studies from 2016
Two principal passes (Two Ds) with a total of 4.0 points (where A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1).

Sasa kama E ni moja akiwa nazo mbili si 2 +D=4 ama utaratibu upo vipi
 
One za point tatu chache sana. Nazitafta kwa tochi,hadi sasa ni Feza boys pekee nimeona one ya point tatu
 
NAONA SASA SHULE ZA SERIKALI ZINARUDI KWENYE UBORA WAKE

na kuna watu huko serikalini hawapendi shule za serikali ziimarike kwa kuwa kuwa zitaua soko la shule binafsi lilioshamiri kipindi cha 10% kwenye miradi mabalimbali kwenye awamu ya nne
 
Shule 4 za serikali kwenye TOP TEN? Nina mashaka kiwanda cha pili tayari kipo kazini. Baada ya cha tamthilia, sasa cha kufabricate matokeo.
 
Ukitaka kujua kama Serikali ina uwezo wa kushindana na shule binafsi subiri matokeo ya kuanzia 2018 maana si wamesema kwa sasa mikopo itatolewa kulingana na ufaulu bila kujali umetoka shule binafsi au ya Serikali, kwa hiyo watu watakuwa wakimailiza kidato cha nne watakuwa wanaendelea na shule binafsi halafu ndiyo utaona tofauti
 
Ufaulu Kidato cha sita miaka yote shule za serikali huwa zinafanya vizuri. Tatizo huwa lipo kwa O level.
 
Yaan daaah,majibu ya huu uzi mengine unaeza zimia au kuingia kupigwa ban,ya kikauzu ka mtu anaugomvi nawe
 
Kisimiri Advance siyo mchanganyiko

Sijakataa kwamba wapo safi nimekuambia uchache wao umewabeba kama ilivyokuwa kwa Feza na private zilizokuwa zinashika usukani


kisimiri.PNG
 
Back
Top Bottom