Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,385
Huyo aliepata div 0 commercial pole yakeNi kweliiView attachment 366438
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo aliepata div 0 commercial pole yakeNi kweliiView attachment 366438
Mkuu wewe hata utunge pepa wewe tufanye wawili bado nitakuzidi sasa sijui nikazanie vipi masomo
mimi naongea kwa fact
unajua kibaha ilikua ya ngapi last 2 yrs?? Je miundombinu imebadilika 1yr? Mifano iko mingi sana angalia kilakala, tbr girl etc utaona
Mkuu before 2014 kuingia chuo ulikuwa lazima uwe na E mbili ambazo zilianzisa 35_44,na A ilianzia 75_100.Lakini mwaka huu kwenda chuo ni D mbili ambazo zinaanzia 50_59 huoni kama madogo wamebanwa?.Simply ni kuwa hatutaki wa kubebwa! Engineering kama huna sifa na vigezo vya kuingia nenda kule juu!! Chuo cha Engineering mlishaanza kukichukulia poa enzi za madrassa!! Sasa mzee wa madrassa karudi kwao na ule upoa haupo tena
Mazingara yake vipi nilisoma hapo A level 1983/85 kulikuwa na tatizo la maji, kuoga mpaka kwenye visima(pond) na maji yenyewe duh usipojikausha vizuri fungus huko kati wanasumbua. Mazingira yameboreshwa ya upatijanaji wa maji?Pugu kinachowaangusha Kuna comb za kiume tyuu Bila hivyo ingekua ni moto wa kuotea mbali, shule zingine zinabebwa na H kunani
2016 kwani imetoka?Programs ni nying,, ukiacha za biashara na Uchumi,, Kama Upo na access ya mtandao Angalia tcu admission guide book 2016,, utakuta maelezo yote
Soma hapo copy and paste for TCU -> Completed A –Leveljaman. kwa matokeo haya Chuo nitaenda au ndo Diploma tena.... (Form IV - ''Chem C'' ''Geo B'' ''Bio B'') & (Form VI ''Chem E'' ''Geo D'' ''Bio E'') 😕😕😕😕😕😕
Hiyo ni TWO ya 12 we kila.za,utakua product ya mlu.go wewe...Mi nilipataga PCB shybush miaka yatu C mbili na E ya physics...tulitusua sana mwaka wetu...na mpaka sasa tunatusua mtaani.imekaaje hii mtu ana D mbili na E moja alafu ana division TWO
Mazingara yake vipi nilisoma hapo A level 1983/85 kulikuwa na tatizo la maji, kuoga mpaka kwenye visima(pond) na maji yenyewe duh usipojikausha vizuri fungus huko kati wanasumbua. Mazingira yameboreshwa ya upatijanaji wa maji?
kwa hiyo napita au ndo nimekwama...?Soma hapo copy and paste for TCU -> Completed A –Level
studies from 2016
Two principal passes (Two Ds) with a total of 4.0 points (where A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1).
kwa hili tuwe objective jaman sasa input ya lowasa katika hayo matokeo iko wap? hyo elimu elimu elimu ilikuwa kipaumbele chake kama angekuwa Rais wa nchii hiiii.....sasa urais hakupata ili hyo slogan yake ilikuwa excuted paka useme lowasa anahusika na haya matokea aiseee? pambanua zaidi juu ya hilo ili tupate correlationIkumbukwe shule za serikali zilikuwa hazionekani tena kwenye top ten ya wanaofanya vizuri, bali zilikuwa maarufu katika wa KUMI MWISHO( THE LAST TEN)
Wakati CCM wakiwa wamejikita katika kupigia debe uchumi wa gesi, bila kujali elimu wala kuwa na sera madhubuti ya elimu, Mh Lowasa aliwaamsha na sera yake maarufu ya ELIMU, ELIMU ,ELIMU
Nani asiyejua kuwa serikali hii ilikopa huo msisitizo na kuamka usingizini kuhusu elimu na matokeo yake leo katika top ten ya FORM SIX shule nne (4) ni za SERIKALI
hongera UKAWA , hongera LOWASA; maendeleo hayana chama
sijakuelewa mkuu amefanikiwa au hajafanikiwa?Andaa ada.
Labda kama watabadili vinginevyo wewe D moja na E na point ni 3 ambayo ni chini ya 4 hivyo huna vigezo kwenda degree.kwa hiyo napita au ndo nimekwama...?
nimekupata broLabda kama watabadili vinginevyo wewe D moja na E na point ni 3 ambayo ni chini ya 4 hivyo huna vigezo kwenda degree.