Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,710
- 2,587
Ikumbukwe shule za serikali zilikuwa hazionekani tena kwenye top ten ya wanaofanya vizuri, bali zilikuwa maarufu katika wa KUMI MWISHO( THE LAST TEN)
Wakati CCM wakiwa wamejikita katika kupigia debe uchumi wa gesi, bila kujali elimu wala kuwa na sera madhubuti ya elimu, Mh Lowasa aliwaamsha na sera yake maarufu ya ELIMU, ELIMU ,ELIMU
Nani asiyejua kuwa serikali hii ilikopa huo msisitizo na kuamka usingizini kuhusu elimu na matokeo yake leo katika top ten ya FORM SIX shule nne (4) ni za SERIKALI
hongera UKAWA , hongera LOWASA; maendeleo hayana chama
Ebana eeh! Mlisema hayuko serikalini toka 2008 toka ahamie huko kwenu ni kutafuta kick kwa maandamano na wabunge wake wamesusia kila kitu.Wenzenu wanachapa kazi nyie mmegomea kila kitu. Sasa watu wanaona tatizo ni nyie na E.L inatakiwa mumpe pore nyingi na msiendelee kumpa sifa kumpiga pesa.
Chuma kimekolea moto nyie pisheni njia tu JPM yeye kazi tu nyie zungusheni mpaka viuno muone mabadiliko ni kitu gani.