Baraza la Mitihani (NECTA) kutangaza matokeo ya Upimaji Darasa la Nne na Kidato cha Pili leo

Baraza la Mitihani (NECTA) kutangaza matokeo ya Upimaji Darasa la Nne na Kidato cha Pili leo

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Habari wakuu,

Wazazi mmefikiwa, matokeo ya upimaji wa mitihani kitaifa kwa darasa la nne na kidato cha pili kwa mwaka 2024 yatatangazwa leo kuanzia majira ya saa 5:00 asubuhi na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA).

Majukumu ya January yanaanza, mjiandae punde matokeo yakitoka yatawekwa hapa..

Link👉🏽👉🏽 https://matokeo.necta.go.tz/results/2024/ftna/ftna.htm
 
IMG-20250104-WA0010.jpg
 
Ufaulu umeongezeka Kwa asilimia ngapi wadau?
 
Kabla sijaongea na huyu bwana mdogo hapa nyumbani naomba ufafanuzi.
Wakiandika neno REFERRED kwenye matokeo ndio kwamba wanamaanisha habari gani hawa NECTA?
Anapaswa kurudia. Hakufaulu kuendelea kidato cha tatu mwaka huu. Anapaswa kusoma tena kidato cha pili mwaka huu 2025.
 
Back
Top Bottom