Baraza la Mitihani (NECTA) kutangaza matokeo ya Upimaji Darasa la Nne na Kidato cha Pili leo

Kabla sijaongea na huyu bwana mdogo hapa nyumbani naomba ufafanuzi.
Wakiandika neno REFERRED kwenye matokeo ndio kwamba wanamaanisha habari gani hawa NECTA?
Hahhaha acha kinichekesha nmeshba sana πŸ˜†
 
Inamaanisha amefeli
Kabla sijaongea na huyu bwana mdogo hapa nyumbani naomba ufafanuzi.
Wakiandika neno REFERRED kwenye matokeo ndio kwamba wanamaanisha habari gani hawa NECTA?
 
Wacha nimuite LIKUD
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wacha nimuite LIKUD
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Thanks God Dogo kapata A zote

πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
Back
Top Bottom