Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Basi sawaaaa...tunasubiri form 4
Mwenye link atakuwa ameitoa wapiTunaomba link please!
Mwenye link atakuwa ameitoa wapi
Tunaomba link please!
Mwenye link atupie tafadhali.
Referred maana yake KURUDIAKabla sijaongea na huyu bwana mdogo hapa nyumbani naomba ufafanuzi.
Wakiandika neno REFERRED kwenye matokeo ndio kwamba wanamaanisha habari gani hawa NECTA?
Doooh!Referred maana yake KURUDIA
Anapaswa kurudia. Hakufaulu kuendelea kidato cha tatu mwaka huu. Anapaswa kusoma tena kidato cha pili mwaka huu 2025.Kabla sijaongea na huyu bwana mdogo hapa nyumbani naomba ufafanuzi.
Wakiandika neno REFERRED kwenye matokeo ndio kwamba wanamaanisha habari gani hawa NECTA?