Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

Mleta uzi mistari miwili ya Mwisho umesema wavulana tupu. Sahihisha hapo
 
Hii habari ya division ndo inaelezea uhalisia sio GPA. Div 1 ni 1.27%
 
,naomba mnisaidie kuangalia hi no,, S.0986/0122, akeri sec
 
Mbona wale waliokua wanaulizia matokea hawapo hewani hivi sasa?
 
Sumu za panya kamba na vihatarishi weka mbali na wahanga.
 
Naona tumeanza tena kamchezo ka kurudi kinyumenyume. Laki moja kufeli si jambo zuri kwa maana nyingine ni watu tutakaokaa nao vijiweni bila ya chochote
 
S.1545/0061 naomba angalia uyu mtoto Rahaleo sec
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…