Unatako kusemejiWewe unamuona ni mzee?
aonywe au kufungiwa kwa kosa lipi?Kwanini afungiwe na si kuonywa?
Nimeelewa concern yake ya kutumia kiswahili ndivyo sivyo, japo sijui kama ni kosa kisheria, however likiwa kosa adhabu haitakiwi kuwa kufungiwa, akifungiwa sisi kama taifa tunapata nini?aonywe au kufungiwa kwa kosa lipi?
huyo muanzisha uzi ni mtoto wa mama jobless promax
Wakunyumbooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bombi nyombi
Acha kumsagii kunguno!!View attachment 3019674
Dickson Samson Makwaya (Bambo)
Baraza la sanaa linashindwa vipi kumuita na kumuonya Bambo aache kuharibu lugha ya kiswahili kwa makusudi.
Huyu kijana nje ya kuharibu lugha yetu ya kiswahili sidhani kama ana kitu anachochekesha.
Ifike mahali sasa aonywe ikiwezekana afungiwe kabisa ,nakumbuka hata wimbo wa Sumalee (Hakunaga) ilibaki hati hati kufungiwa kwa kosa la kuharibu lugha .
Yeye kama msanii ni kioo cha jamii hivyo anatazamwa na wengi, sasa kama yeye anaanza kuharibu lugha inamaanisha wengi atawapoteza haswa kwa wale wageni wasiofahamu vyema lugha ya kiswahili na Wana nia ya kujifunza.
Dah yaani mkuu unamuonea wivu mtu kama bamboView attachment 3019674
Dickson Samson Makwaya (Bambo)
Baraza la sanaa linashindwa vipi kumuita na kumuonya Bambo aache kuharibu lugha ya kiswahili kwa makusudi.
Huyu kijana nje ya kuharibu lugha yetu ya kiswahili sidhani kama ana kitu anachochekesha.
Ifike mahali sasa aonywe ikiwezekana afungiwe kabisa ,nakumbuka hata wimbo wa Sumalee (Hakunaga) ilibaki hati hati kufungiwa kwa kosa la kuharibu lugha .
Yeye kama msanii ni kioo cha jamii hivyo anatazamwa na wengi, sasa kama yeye anaanza kuharibu lugha inamaanisha wengi atawapoteza haswa kwa wale wageni wasiofahamu vyema lugha ya kiswahili na Wana nia ya kujifunza.
Wadudu sio wasanii (kioo cha jamii).Bambo na wadudu nani anaharibu kiswahili?
Kama nani huyo anaimba matusi?Unaweza kuwa sahihi ila hao basata waanze kwanza na wale wasanii wako unaowasifia sana maana wanaimba matusi tu
[emoji88][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwelo
Tatizo liko kwa wanaofuatilia ujinga wake.View attachment 3019674
Dickson Samson Makwaya (Bambo)
Baraza la sanaa linashindwa vipi kumuita na kumuonya Bambo aache kuharibu lugha ya kiswahili kwa makusudi.
Huyu kijana nje ya kuharibu lugha yetu ya kiswahili sidhani kama ana kitu anachochekesha.
Ifike mahali sasa aonywe ikiwezekana afungiwe kabisa ,nakumbuka hata wimbo wa Sumalee (Hakunaga) ilibaki hati hati kufungiwa kwa kosa la kuharibu lugha .
Yeye kama msanii ni kioo cha jamii hivyo anatazamwa na wengi, sasa kama yeye anaanza kuharibu lugha inamaanisha wengi atawapoteza haswa kwa wale wageni wasiofahamu vyema lugha ya kiswahili na Wana nia ya kujifunza.
ChaiHalafu ndio huyu MTANASHATI? . Vuruga tu hilo jina hapo. Utanashati ni kipengele mkuu. Kuanzia kuongea,ni mdogo mdogo kwa mpangilio tena point tupu. Tembea yako,sio unavuruga vuruga tu. Usikimbie kimbie. Mavazi pia. Ukiwa serikalini usile rushwa,usifisadi hata kidogo. Wabunge wenzio wanapotaka kujiongezea mishahara,wakati wananchi wana hali ngumu,mbali ya kupangua hiyo hoja,inatakiwa wewe uikatae kwako hiyo nyongeza. Utanashati ni kipengele,sio bure bure kama hivi.