The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Acho wivo, kwani kuna shido?View attachment 3019674
Dickson Samson Makwaya (Bambo)
Baraza la sanaa linashindwa vipi kumuita na kumuonya Bambo aache kuharibu lugha ya kiswahili kwa makusudi.
Huyu kijana nje ya kuharibu lugha yetu ya kiswahili sidhani kama ana kitu anachochekesha.
Ifike mahali sasa aonywe ikiwezekana afungiwe kabisa ,nakumbuka hata wimbo wa Sumalee (Hakunaga) ilibaki hati hati kufungiwa kwa kosa la kuharibu lugha .
Yeye kama msanii ni kioo cha jamii hivyo anatazamwa na wengi, sasa kama yeye anaanza kuharibu lugha inamaanisha wengi atawapoteza haswa kwa wale wageni wasiofahamu vyema lugha ya kiswahili na Wana nia ya kujifunza.
Kabila hata mleta mada hajazaliwaUnajua bambo kaanza usanii mwaka Gani?
Sioni shida Ya bambo..View attachment 3019674
Dickson Samson Makwaya (Bambo)
Baraza la sanaa linashindwa vipi kumuita na kumuonya Bambo aache kuharibu lugha ya kiswahili kwa makusudi.
Huyu kijana nje ya kuharibu lugha yetu ya kiswahili sidhani kama ana kitu anachochekesha.
Ifike mahali sasa aonywe ikiwezekana afungiwe kabisa ,nakumbuka hata wimbo wa Sumalee (Hakunaga) ilibaki hati hati kufungiwa kwa kosa la kuharibu lugha .
Yeye kama msanii ni kioo cha jamii hivyo anatazamwa na wengi, sasa kama yeye anaanza kuharibu lugha inamaanisha wengi atawapoteza haswa kwa wale wageni wasiofahamu vyema lugha ya kiswahili na Wana nia ya kujifunza.
Sasa hiki kiswahili kimeharibika wapi, binafsi nimeanza kumtazama bambo tangu miaka Hio kitambo sana ila huwezi kukuta nafanya usanii anaofanya yeyeKabila hata mleta mada hajazaliwa
Wazee wa kulalamaView attachment 3019674
Dickson Samson Makwaya (Bambo)
Baraza la sanaa linashindwa vipi kumuita na kumuonya Bambo aache kuharibu lugha ya kiswahili kwa makusudi.
Huyu kijana nje ya kuharibu lugha yetu ya kiswahili sidhani kama ana kitu anachochekesha.
Ifike mahali sasa aonywe ikiwezekana afungiwe kabisa ,nakumbuka hata wimbo wa Sumalee (Hakunaga) ilibaki hati hati kufungiwa kwa kosa la kuharibu lugha .
Yeye kama msanii ni kioo cha jamii hivyo anatazamwa na wengi, sasa kama yeye anaanza kuharibu lugha inamaanisha wengi atawapoteza haswa kwa wale wageni wasiofahamu vyema lugha ya kiswahili na Wana nia ya kujifunza.
Anapotosha nini ??Kazi ya msanii ni kuelimisha na sio kupotosha.
Sawa daktari.Sioni shida Ya bambo..
Bambo anaigiza Uongeaji wa Wangoni na watu wa Kusini waongeavyo na Nimeishi Kusini Ndibyo wanavyoongea..
BAmbo kaanza uigizaji miaka ya 90 na kusikika sana miaka ya 2001 na 2002 pale kaole..
Baada ya miaka 20 unataka wamfungie??
Basi wakimfungia Bambo wafungie watu wote wanaogiza Makabila ya watu wengine kama wasukuma, Wasambaa ,Waha, Wahaya nk..
Na kwamba wanaharibu Kiswahili pia na lafudhi..
Ukiona umeanza kuchukia Makabila ya Watu Angalia Uongeaji wa kabila lako uko Saw?
Yangu ni hayo tu..
Shukrani..
CC:
Hance Mtanashati
AiseeAnapotosha nini ??
Mwani wewe unajifunzaga kingereza Katoka kwa hip ho za wa Marekani au unakitoaga shule??
Acha ujinga kiswahili kajifunze shule na ukitumie bungeni au sehemu yeyote unayoijua ya heshima sanaaa zilizobaki tunongezea manjonjo ili dude liwake👉🇹🇿
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wazee wa kulalamika
Mmefika hadi kwa bambo
Nchi ngumu sana hii
Bora angesema Joti aache kuvaa nguo za kike maana anahamasisha ushoga....Dah, ndo jambo la maana uliloliona mkuu?
Mbono imekuumo sano,kwanu wewi ni BASATO?Yeye kama msanii ni kioo cha jamii hivyo anatazamwa na wengi, sasa kama yeye anaanza kuharibu lugha inamaanisha wengi atawapoteza haswa kwa wale wageni wasiofahamu vyema lugha ya kiswahili na Wana nia ya kujifunza.
Wivu kiwango cha SGRView attachment 3019674
Dickson Samson Makwaya (Bambo)
Baraza la sanaa linashindwa vipi kumuita na kumuonya Bambo aache kuharibu lugha ya kiswahili kwa makusudi.
Huyu kijana nje ya kuharibu lugha yetu ya kiswahili sidhani kama ana kitu anachochekesha.
Ifike mahali sasa aonywe ikiwezekana afungiwe kabisa ,nakumbuka hata wimbo wa Sumalee (Hakunaga) ilibaki hati hati kufungiwa kwa kosa la kuharibu lugha .
Yeye kama msanii ni kioo cha jamii hivyo anatazamwa na wengi, sasa kama yeye anaanza kuharibu lugha inamaanisha wengi atawapoteza haswa kwa wale wageni wasiofahamu vyema lugha ya kiswahili na Wana nia ya kujifunza.
Kwani kuna shido??huyo sio kijana mbona,tangu 2000 alishakuwa staa,hakosi 56View attachment 3019674