Sioni shida Ya bambo..
Bambo anaigiza Uongeaji wa Wangoni na watu wa Kusini waongeavyo na Nimeishi Kusini Ndibyo wanavyoongea..
BAmbo kaanza uigizaji miaka ya 90 na kusikika sana miaka ya 2001 na 2002 pale kaole..
Baada ya miaka 20 unataka wamfungie??
Basi wakimfungia Bambo wafungie watu wote wanaogiza Makabila ya watu wengine kama wasukuma, Wasambaa ,Waha, Wahaya nk..
Na kwamba wanaharibu Kiswahili pia na lafudhi..
Ukiona umeanza kuchukia Makabila ya Watu Angalia Uongeaji wa kabila lako uko Saw?
Yangu ni hayo tu..
Shukrani..
CC:
Hance Mtanashati