Baraza la Sanaa limfungie Bambo kazi zake. Anaharibu sana Kiswahili kwa makusudi

View attachment 3019674
Dickson Samson Makwaya (Bambo)

Baraza la sanaa linashindwa vipi kumuita na kumuonya Bambo aache kuharibu lugha ya kiswahili kwa makusudi.

Huyu kijana nje ya kuharibu lugha yetu ya kiswahili sidhani kama ana kitu anachochekesha.

Ifike mahali sasa aonywe ikiwezekana afungiwe kabisa ,nakumbuka hata wimbo wa Sumalee (Hakunaga) ilibaki hati hati kufungiwa kwa kosa la kuharibu lugha .

Yeye kama msanii ni kioo cha jamii hivyo anatazamwa na wengi, sasa kama yeye anaanza kuharibu lugha inamaanisha wengi atawapoteza haswa kwa wale wageni wasiofahamu vyema lugha ya kiswahili na Wana nia ya kujifunza.
Acho wivo, kwani kuna shido?
 
Sioni shida Ya bambo..
Bambo anaigiza Uongeaji wa Wangoni na watu wa Kusini waongeavyo na Nimeishi Kusini Ndibyo wanavyoongea..

BAmbo kaanza uigizaji miaka ya 90 na kusikika sana miaka ya 2001 na 2002 pale kaole..
Baada ya miaka 20 unataka wamfungie??

Basi wakimfungia Bambo wafungie watu wote wanaogiza Makabila ya watu wengine kama wasukuma, Wasambaa ,Waha, Wahaya nk..
Na kwamba wanaharibu Kiswahili pia na lafudhi..

Ukiona umeanza kuchukia Makabila ya Watu Angalia Uongeaji wa kabila lako uko Saw?

Yangu ni hayo tu..
Shukrani..

CC:
Hance Mtanashati
 
Wazee wa kulalama

Mmefika hadi kwa bambo

Nchi ngumu sana hii
 
Yule ni msanii na ile ni sanaa.

Na huko sio kuharibu lugha bali ni msanii anacheza na lugha ili kuiridha hadhira yake.

Ameanza hizo mbanga kitambo na wala hakuwika wala kuigwa na watu mitandaoni kama hivi leo, ni upepo tu na ni suala la muda atasahaulika tena.

Acho wivo.
 
Kazi ya msanii ni kuelimisha na sio kupotosha.
Anapotosha nini ??
Mwani wewe unajifunzaga kingereza Katoka kwa hip ho za wa Marekani au unakitoaga shule??
Acha ujinga kiswahili kajifunze shule na ukitumie bungeni au sehemu yeyote unayoijua ya heshima sanaaa zilizobaki tunongezea manjonjo ili dude liwake👉🇹🇿
 
Sioni shida Ya bambo..
Bambo anaigiza Uongeaji wa Wangoni na watu wa Kusini waongeavyo na Nimeishi Kusini Ndibyo wanavyoongea..

BAmbo kaanza uigizaji miaka ya 90 na kusikika sana miaka ya 2001 na 2002 pale kaole..
Baada ya miaka 20 unataka wamfungie??

Basi wakimfungia Bambo wafungie watu wote wanaogiza Makabila ya watu wengine kama wasukuma, Wasambaa ,Waha, Wahaya nk..
Na kwamba wanaharibu Kiswahili pia na lafudhi..

Ukiona umeanza kuchukia Makabila ya Watu Angalia Uongeaji wa kabila lako uko Saw?

Yangu ni hayo tu..
Shukrani..

CC:
Hance Mtanashati
Sawa daktari.
 
Anapotosha nini ??
Mwani wewe unajifunzaga kingereza Katoka kwa hip ho za wa Marekani au unakitoaga shule??
Acha ujinga kiswahili kajifunze shule na ukitumie bungeni au sehemu yeyote unayoijua ya heshima sanaaa zilizobaki tunongezea manjonjo ili dude liwake👉🇹🇿
Aisee
 
View attachment 3019674
Dickson Samson Makwaya (Bambo)

Baraza la sanaa linashindwa vipi kumuita na kumuonya Bambo aache kuharibu lugha ya kiswahili kwa makusudi.

Huyu kijana nje ya kuharibu lugha yetu ya kiswahili sidhani kama ana kitu anachochekesha.

Ifike mahali sasa aonywe ikiwezekana afungiwe kabisa ,nakumbuka hata wimbo wa Sumalee (Hakunaga) ilibaki hati hati kufungiwa kwa kosa la kuharibu lugha .

Yeye kama msanii ni kioo cha jamii hivyo anatazamwa na wengi, sasa kama yeye anaanza kuharibu lugha inamaanisha wengi atawapoteza haswa kwa wale wageni wasiofahamu vyema lugha ya kiswahili na Wana nia ya kujifunza.
Wivu kiwango cha SGR
 
Kwani kuna shido??huyo sio kijana mbona,tangu 2000 alishakuwa staa,hakosi 56
 
Hiyo ni sanaa tu na artist yeyote amepewa haki ya ku violate language procedures ili kufikisha dhamira kwa jamii ambayo ni kuelimisha ama kuburudisha... Wewe ndio una tatizo nae I think
 
sifa ya comedians ni ku exaggerate mambo yaliyopo kwenye jamii ndio inakua comedy
 
Back
Top Bottom