Dah hizi dini huwa tunazifuata blindly yaani😂😂
Sahihi kabisa, nadhani ndio sababu ya US kuwazuia.vinu vya nyuklia na visima vya mafuta wasivishambulie kwa ajili ya utawala mpya utakaowekwa. Wapige facility za kijeshi ili kuusambaratisha utawala wa kishia wa maayatollah unaovuruga amani mashariki ya kati
Mpenzi, mimi naona washiraz wasijibu tu ili maisha mengine yaendelee.Netanyahu sasa hivi anaishi shimoni na mpaka mikutano ya baraza lake la mawaziri wanaifanyia shimoni.
Cheza na Washirazi?
Ndivyo wenyewe walivyokwambia au kujisemea tu?
Kwani mwenda wazimu akikuambia ukristo ndiyo huu:
View attachment 3137822
Ndiyo tuseme imeenda hiyo?
Kulikoni kuwa na mawazo dunia hivyo ndugu?
[/QUOTChannel 13 ya Israeli jioni hii inaripoti kuwa Baraza la Usalama la Israel limefanya uamuzi wa kuanzisha Hatua nyingine ya Kulipiza kisasi dhidi ya Iran hivi karibuni.
Hii ni kutokana na Jukumu lao katika Mashambulizi ya hivi karibuni ya Hezbollah, ambayo yalilenga Nyumba ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.
Hawa Jamaa hawajawahi kuogopa mtu aisee. Wao washazoeaga hizi mambo za mafarakano.
Ngoja tuone washia watafanywa Nini wakati huu, maana mifumi yao ya ulinzi wa anga ilipigwa mkong'oto juzi.
Netanyahu alisababisha kupitia AIPAC ( umoja wa Wayahudi waishio America kwa kuihonga na kuu kontrol na kuiamuru serikali ya America ifanye wanavyotaka Israel ) bil hali Wamarekani wengi hawana sauti !. Marekani akafanya kama alivyoamrishwa kuipiga Iraq na kuivamia na kuleta vurugu nyingi zilizotokea kwa kutumia kila uongo wa uzushi moja silaha za WMD ambazo hazikuwepo ila walibuni ujanja na uongo ukijurikana baadae. wasababisha uharibifu kwa kusingiziwa.
Sasa anajaribu kila njia kuuingiza Amerika katika Iran kwa kila visingizio.
Iran baada ya kuona yaliyotokea Iraq ilikuwa inajiandaa maana walijua kuna siku watapigana na Marekani. Sasa marekani alishaonja Iraq, bado anasita😂. Lakini Israel inajaribu kila mbinu kukicha leo ili Marekani aingie kwenye vita.
Pia Historia ya Marekani ni nchi inayoishi kwa kuua ua watu kila kona ya dunia na maana haikai zaidi ya miaka 4 bila kuingia vitani. Katika historia yao ni maraisi wawili tu ambao walimaliza miaka 4 bila vita Jimmy Carter, na Trump na wote hawakuchaguliwa kipindi cha pili!
Ujinga mkubwa uliosambaa ni ule wa imani potofu ya wateule. Hakuna wateule na hii pandikizi imepatikana kwa kuhongwa hela mapadri wa kizungu kuwalaza baadhi ya ndugu zetu wakiristo. Kabla ya miaka 100 wachinjaji na wauwaji wakubwa wa wayahudi walikuwa ni Wakiristo kwani hawautambui ukiristo, na wanamuita Yesu mwanaharamu na mama yake Maria Malaya aliyezaa mwanaharamu. Na Warumi waliwatawanya wayahudi kwa kumuua Yesu. On contrary watu waliowalinda hawa hawa mayahudi walikuwa ni nchi za kiislam. Tazama sasa mambo wanayofanya,
Mavi mnakammuliwa na mkifika huko kuzimu allah the arab god na mudi wake wanawatatua marinda na misijdah yenu mikubwa kwenye mipaji yenu mieusii .Ndivyo wenyewe walivyokwambia au kujisemea tu?
Kwani mwenda wazimu akikuambia ukristo ndiyo huu:
View attachment 3137822
Ndiyo tuseme imeenda hiyo?
Kulikoni kuwa na mawazo dunia hivyo ndugu?
Sawa. Ngoja tupate na maoni ya Wanamgambo kutoka Nangwanda.
Usitegemee kuwa hii vita itaisha leo wala keho.Mpenzi, mimi naona washiraz wasijibu tu ili maisha mengine yaendelee.
Mambo ya kujibiana jibiana mwisho wake siyo mzuri.
Netanyahu sasa hivi anaishi shimoni na mpaka mikutano ya baraza lake la mawaziri wanaifanyia shimoni.
Cheza na Washirazi?
Mpenzi, kwani hapo si kuna mipaka ya wapalestina na Israel, kwanini kila mtu asitulie ndani ya mipaka yake bila kumchokoza mwenzie.Usitegemee kuwa hii vita itaisha leo wala keho.
Hii vita haiishi mpaka Palestina irudi kwa Wapalestina wenyewe au asibaki mwenye asili ya Kipalestina hata mmoja duniani.
Mavi mnakammuliwa na mkifika huko kuzimu allah the arab god na mudi wake wanawatatua marinda na misijdah yenu mikubwa kwenye mipaji yenu mieusii .
Mpenzi, kwani hapo si kuna mipaka ya wapalestina na Israel, kwanini kila mtu asitulie ndani ya mipaka yake bila kumchokoza mwenzie.
Mimi nadhani Ayatola anapowadhamini Hezbola na Hamas ili kuwasumbua wayahudi, na anaposema kuwa anataka kulifuta taifa la Israel ndio anasababisha fujo, wewe unaonaje lahazizi?
Kama Rais wa Iran anavyoishi kwenye handaki. Hezbollah kiongozi wao kafia kwenye handaki. Ukiwa vitani, usishangae kuishi kwenye mashimo. Huwa inatokea ikibidi.
Ila wayahudi noma sana. Hebu ona mazingaombwe yao yalivyo
Muungano @59: Israel ilihusika mwaka 1964? - Gazeti La Dunia
Picha: Marais Julius Nyerere wa Tanganyika na Abeid Amani Karume wakitia saini Hati za Muungano. Na Ezekiel Kamwaga MARA ya kwanza kusikia jina la Misha Feinsilber ilikuwa wakati niliposoma – kwa mara ya kwanza pia, kitabu adhimu cha Harith Ghassany “Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru (2010) ”...gazetiladunia.com