Baraza Madaktari Tanzania (MCT) lamgomea Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu Madaktari Watarajali

Nimekuambia acha ujinga, kwakua wewe na roho yako ya kutu unakula unajishibia na kujijambia hujui watoto wa maskini wako mtaani hawana leseni na hawajui ni kwanini wslisoma hiyo kozi.
Wewe ni walewale tu, makanjanja..

Ngoja nikureport uache ku mislead jamii hapa.
 
Wewe ni walewale tu, makanjanja..

Ngoja nikureport uache ku mislead jamii hapa.
Mpuuzi moja wewe. Mimi siyo Daktari na waka sina ndugu yeyote mwenye taaluna hiyo. Lakini ukisoma malalamiko yao unaona wana hoja ya msingi halafu wewe unaleta pumba unawadhihaki? Mbona Law
school tuliwasikiliza wakaundiwa tume ikfanya kazi?
 
Mpuuzi moja wewe. Mimi siyo Daktari na waka sina ndugu yeyote mwenye taaluna hiyo. Lakini ukisoma malalamiko yao unaona wana hoja ya msingi halafu wewe unaleta pumba unawadhihaki? Mbona Law
school tuliwasikiliza wakaundiwa tume ikfanya kazi?
Umeangalia ufaulu wa law school mwaka huu?

Unafahamu ufaulu umeendelea kuwa uleule?

Ndo maana nakuambia acha ukanjanja...

Fuatilia mambo....

 
Wapikwe na baraza? Hivi wewe una akili sawa sawa? Kama hawakupikwa vyuoni si TCU wajibu?
Kama wamepikwa na tcu unadhani internship.huwa ni ya kazi gani?

Au ushawahi kufikiria kwa nn mtu asome sheria kisha akasome law school mwaka mzima ndiyo awe wakili?

Islamabaddddddd....
 
Tusilete siasa kwenye Afya za Watu. Madaktari Vihiyo msitafute huruma nendeni mkafanye mitihani na kamwe MCT msimwangalie mtu usoni. Vijan ni kulamba midomo n kubana miguu ya suruari na kunyoa viduku tu eti wanataka wajiite madaktari. Shiiiithole Doctors
 
Napendekeza mtian wa vijana hawa wa post internship kupimwa interms of practical, na sio theory, kwa sababu maana ya intern ni kupractice kwa vitendo ,that's huko hupewa na vyeti vya matokeo, vinginevyo kumpima uyu kijana kwa theory ambayo amepambana nayo kwa miaka mitano ni upumbavu kama sio ujinga,

Theory inamsaidiaje uyu kijana kama practically yupo poor,
 
We nawe ni mshamba kama washamba wengine , wapo specialist wangapi tz, na je walipitia mfumo huu wa ukandamizaji kama huu, au wafikili walikua bora kuliko hawa vijana wa leo,
Fani yoyote hasa hii ya afya kadri unavyo kuwa kazini ndivyo ndivyo uwezo pia unaongezeka kadri ya siku hadi siku, na utaendelea kusoma mpaka unaingia kaburin, maana mambo yanabadilika kila siku

so wewe unaeshabikia upumbavu kama huu wenda ulikua kilaza na wenda umefika hapo kwa kudra tu thats upo na roho mbaya, watu smart , hutowakuta wapo na majungu ya kipumbavu kama yako
 
Inatakiwa wizara iongozwe ka mti aliyesomea utanibu
 
Mkuu hivi mtu anafanyaje mtihani na kuwa Daktari wakati HAJALA KIAPO?

Zamani ilikuwa lazima graduation ifanyike WAHITIMU WAAPE! Hapo ndipo mtihani unakuja.

Leo mnawataka wahitimu wafanye mtihani waanze Kazi ya kuhudumia watu bila kiapo? MMESAHAU UDAKTARI SIO TU SHULE NA MITIHANI NI PAMOJA NA KIAPO!

Wahusika msisiginee Sheria. Nchi hii inaendeshwa kwa Sheria na sio utashi wa mtu.
 
Kama wamepikwa na tcu unadhani internship.huwa ni ya kazi gani?

Au ushawahi kufikiria kwa nn mtu asome sheria kisha akasome law school mwaka mzima ndiyo awe wakili?

Islamabaddddddd....
We jamaa ni kilaza sana , kwamba hujui intern ni kwa ajili ya nini , je ni watu wa afya hufanya intern peke yao, inten ni implementation ya kile ulikisoma na kukifaulu darasi kwa vitendo, sasa unazuiaje mtu kwenda intern, au unampimaje aliemaliza intern na kufaulu kwa theory tena,

Aliemaliza intern na kufaulu ikiwa ni pamoja kupewa cheti, nikigezo tosha cha mtu kuingia kwenye soko la ajira, sasa unakuja na mtiani mwingine unampima nini, kuliko yule aliemsimamia ,huu ni upumbavu
 

Kumbe unajua mambo yanabadilika then hapohapo unaleta habari za ma specialist wa mwaka 90?

Mabadiliko ni pamoja na mifumo ya upatikanaji wa wana kada.

Hii mifumo ya sasa imeletwa kuendana na mifumo ya kimataifa, miaka michache nyuma nchi zingine walikuwa wanatushangaa how come wataalam wa afya wote wakimaliza internship wanakuwa licensed bila kufanya mtihani?

Pia outsiders walikuwa wanashangaa mtu ana renew vipi leseni yake bila kuwa na CPD Points?

Ndipo sasa Licensure Exams na CPD zikaletwa ili kukidhi vigezo vya hizi kada za afya.

Ila haya huwezi kuyajua kwa sababu wewe ni kanjanja tuu usiyetaka mabadiliko na hutaki kufuatilia mambo yanavyoenda..
 
Acheni ubishi, fanyeni paper muende intern..

Kama umefaulu vizuri kwa nini mnaogopa paper, si mmefaulu vizuri? Fanyeni paper hilo mlichape kisawasawa muende intern.
 
Acheni ubishi, fanyeni paper muende intern..

Kama umefaulu vizuri kwa nini mnaogopa paper, si mmefaulu vizuri? Fanyeni paper hilo mlichape kisawasawa muende intern.
Wanaendaje Intern ambapo ni kama kuanza Kazi BILA KULA KIAPO? Hivi akikiuka maadili ya udaktari atahukumiwa kwa sheria ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…